Kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu

Hivi unajua kwamba kutaka kujua taarifa za mtu yeyote bila kibali cha polisi na TCRA ni kosa kisheria?! Ulitakafanya kitu kinaitwa 'UDUKUZI', kaa kimya usije ukafungwa bure.
Hii ni sawa na kudhulumiwe kwenye biashara ya madawa ya kulevya halafu unaenda kushtaki polisi
 
Kumbe watu wa kuibiwa kufunga hivi bado mpo.Hapo ni uzembe wako mwenyewe tu,au uliamini ile habari ya Mengi kua wamenasa mawasiliano ya Makonda kua anataka kuwafungia???

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
We kweli pepo ya mabwege! Hata huyo uliye naye ameshakuona hamnazo ndo maana anatafuta njia ya kukuacha kistaarabu.
Naomba Niulize hivi kampuni kubwa ya Simu za mkononi tigo hawajui udanganyifu unaofanya na watu kupitia line zao za tigo au wao wenyewe wanainjinia huu utapeli?

Kuna application inaitwa Ms(Tanzania Telebox ambayo inajinadi kuwa wanaweza kukupa information za mawasiliano ya MTU wako Wa karibu lakini ukitaka kupata activation code unaambiwa ulipie 45,000= nimelipia but mpaka Leo sijaipata.

Naomba anayeijua hii Huduma atupe ushuuda na kampuni ya tigo wachukue hatua na kuwajulisha Wateja wake juu ya huu utapeli maana namba yao IPO publically na imesajiliwa.View attachment 544755

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
 
mkuu, hujui pia kutaka kudukua taarifa bibafsi za mtu mwingine pasipo ridhaa yake pia ni kosa la jinai.
 
Wapigaji hao kazini

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Back
Top Bottom