Kujinajisi aukujizini mwenyewe (kujichua)

Kujinajisi aukujizini mwenyewe (kujichua)

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
1,966
Reaction score
2,200
Ni Kujinajisi kwa kujizini mwenyewe au KUJICHUA.

Ni unaangia maagano ya ndoa na mapepo ,lakini unapoteza baraka, zako zinaibiwa na mapepo ,nguvu ya maombi inafifia/inapungua,unavamiwa na maroho ya uharibifu..unakuwa mtumwa wa kujichua mara kwa mara na kuwaka tamaa ya kutamani uzinzi mara kwa mara ,na kuangalia picha na video za ngono..unakuwa mtumwa wa uzinzi..kila unapojizini unapoteza nguvu za kiroho baraka zako nguvu za maombi maisha yako ya kiroho yanafifia,ila pia roho za uharibifu na mikosi madeni na umaskini,magonjwa n.k zinakuvaa..maana adui unampa uhalali wa kukutawalabna kukumiliki..

lakini pia hata maisha yako ya ndoa yanatetereka mana tayari unakuwa umeshafunga ndoa na mapepo ndoa yako inaweza kuwa na migogori.

pia utakuwa unaota ndoto unazini ndotoni mara kwa mara.

hali ikiwa mbaya kuna watu wanajizini hata zaidi ya mara moja kwa siku..ni kifungi kibaya kina uraibu au ulevi addiction kama mtumiaji wa madawa ya kilevya au pombe na sigara anakuwa mtumwa wa hio dhambi..

kujizini ni hatari kwako na kizazi chako mana zile mbegu zako mapepo yanachukua ni DNA taarifa zako za siri kuhusu wewe na kizazi chako..zimebeba DNA yako inayo onyesha siri ya nguvu zako na udhaifu wako..mapepo yanachukua unayapa siri ya DNA yako na kizazi chako..

lakini ukiamua kwa kweli ukakata shauri ya kuacha kujizini...acha kuangalia picha za ngono..video za ngono..mtii Mungu mpinge shetani naye atakukimbia"

mapepo yataondoka yatakuvua na pete zao katika vidole vyako yalizokuvalisha katika ulimwengu wa ROHO.
 
Nyie wafia dini mnafanya mambo yaonekane magumu mno, n wapi kwenye Biblia pameandikwa kupiga nyeto ni dhambi au kauli yenye maana kama hiyo.
Haya mapumbavu kweli , kwenye hiyo hiyo biblia kumeandikwa usile nguruwe ila yanabugia

Hawa ni HIV positive wanataka kila mtu apate ukimwi kama wao,,🚮🚮
 
ukionyesha bidii ya na nia ya kutaka kuacha dhambi hii ya kujichua,ukaweka mkakati wa kuondoa mwazo mabaya moyoni mwako,tamaa mbaya za mwili wako ukazisulibisha msalabani pa Yesu,
ukaacha kutazama video na picha za ngono
ukaacha kusikiliza mazungumzo mabaya yanayohamasisha uzinzi
Ukaacha kutazama watu wa jinsia ya pili kwa kuwatamani kingono
Ukasafisha moyo wako na akili yako

ukaanza kusali kwa bidii Yesu akusaidie ..na kuanza kuhifadhi kwa wingi neno la Mungu moyoni mwako na kuanza kutazama na kusikiliza zaidi habari A neno la Mungu

ukaanza kusali kuomba na kufunga pepo la kujichua masterbation punyeto..linahitaji uweke nguvu ulipinge kwa nguvu kubwa ikibidi hata kwa maombi ya kufunga fasting kula na kunywa kabisa ..

tumia mstari huu wa biblia pia ..

sema nakukataa wewe shetani na mambo yako yote ,namtii Mungu ,nakataa kutumikishwa chini ya kutumikia taamaa mbaya za mwili wangu na mawazo yake mabaya nayasulubisha msalabani kwa Yesu

Sema mimi nimekombolewa kwa damu ya Yesu ambayo kupitia damu ya mwanakondoo nimemshinda shetani na tamaa mambo yake yote nipo huru kupitia gharama Yesu amenilipia pale msalabani,mimi namtimikia Yesu na vyote vilivyo ndani yangu navifunika kwa damu ya Yesu ,mwili wangu,mawazo yangu na Roho yangu.

namtii Mungu nakupinga wewe shetani nawe nakuamuru unikimbie kama neno linavyosema

basi mtiini Mungu mpingeni shetani naye atawakimbia.

nasi tumemshinda kwa damu ya mwanakondoo..

Dalili itakayo onyesha kuwa hayo mapepo ya kujinajisi kujichua yameshakuachia yamekukimbia ni hizi

1)Yatachukua pete zao au pete yao kutoka kidole cha mkono wako au vidole vya mikononi
Kama unaombewa anayekuombea atakushika mkono na kuamuri pete lije lichukue pete yake kidoleni kwa mkono wako litakuja litachukua.

wengine huwa wanaomba wenyewe bila hata kuombewa kwa kumaanisha kwa kufunga na wanajiponya wenyewe kwa kuomba wenyewe bila kuombewa na mtu..na pepo linakuja lenyewe linachukua pete yake liliyokuvalisha kidoleni pa mkono wako..
NB hizi pete ni za kiroho hazionekani kwa macho ya mwili..hata kama umeoa au umeolewa lakini unaweza ukawa una pete za rohoni zipo kidoleni pako na hata haujui..kuna maagano uliingia na mapepo bila hata kujua.

2) Dalili ya pili utaacha kuota ndoto unazini unafanya ngono ndotoni..hizi ndoto zitapotea kabisa.

3)utaacha kuwaka tamaa kali ya ngono kutazama picha za ngono,video za ngono,mazungumzo ya ngono,picha za utupu,kutamani mwanamke/mwanamme asiye wako..utaacha kuwaka tamaa mbaya za uzinzi/ngono.

maisha yako ya uchaji wa Mungu yatakuwa kama zamani nguvu ya maombi ,maisha yako ya ndoa ,migogori ya ndoa itaisha ...na maelewano na mwenzi wako yatakuwa vizuri

na kama ulikuwa unachukia ndoa utaanza kuipenda ndoa..kuna vijana wanakataa ndoa kuoa au kuolewa kwa sababu tayari wameshaolewa au kuoa mapepo katika ulimwengu wa roho.
 
Ni unaangia maagano ya ndoa na mapepo ,lakini unapoteza baraka, zako zinaibiwa na mapepo ,nguvu ya maombi inafifia/inapungua,unavamiwa na maroho ya uharibifu..
Ungesema kwamba ukijichua unapata gonjwa lisilo na tiba km UKIMWI, HOMA YA INI, KISONONO, KASWENDE, GONORRHEA, KISUKARI, HEPATITIS b, KONGOSHO linafeli, FIGO linakufa na MOYO utagoma kusukuma damu ungeeleweka sana, eti nini mapepo? unapoteza baraka? nguvu ya maombi? unavamiwa na nini?

Acheni usenge wa kuwatisha watu imeandikwa wapi?
 
Ungesema kwamba ukijichua unapata gonjwa lisilo na tiba km UKIMWI, HOMA YA INI, KISONONO, KASWENDE, GONORRHEA, KISUKARI, HEPATITIS b, KONGOSHO linafeli, FIGO linakufa na MOYO utagoma kusukuma damu ungeeleweka sana, eti nini mapepo? unapoteza baraka? nguvu ya maombi? unavamiwa na nini?

Acheni usenge wa kuwatisha watu imeandikwa wapi?
Majinga kweli , yanafikiri humu Kuna vilaza kama huko makanisani mwao, wasio hoji Chochote , waulize unakosa baraka zipi?
 
Nyeto ni nature tu
Nyeto ni nzuri kiafya kama haijatumika kuzidi kiasi
Nyeto imetulea wengi
Anadai ukipiga haupati baraka ,😅 hii Dunia kila kitu kina ushahidi, kudanganya watu Sasa ni ngumu sana labda vilaza wanaotaka kupumbazwa tu
 
Majinga kweli , yanafikiri humu Kuna vilaza kama huko makanisani mwao, wasio hoji Chochote , waulize unakosa baraka zipi?
Hajui anachoongea basi tu imemkuta anaongea hajui hata anapofanya mapenzi pale kinachofanyia anajichua kwa kupita mwili wa mtu mwingine kwa hio kunakua na exchange ya alichosema, niliwahi kusoma kitabu kimoja nacho kilikua kinatishatisha hivyo nikasema huyu mwandishi ameandika kwa vile anavyofikiria ila sio uhalisia halisi yaan hajaingia field akajifanyia research yaan utafiti mwenyewe aone je kinachosemwa ni cha kweli?
 
Hajui anachoongea basi tu imemkuta anaongea hajui hata anapofanya mapenzi pale kinachofanyia anajichua kwa kupita mwili wa mtu mwingine kwa hio kunakua na exchange ya alichosema, niliwahi kusoma kitabu kimoja nacho kilikua kinatishatisha hivyo nikasema huyu mwandishi ameandika kwa vile anavyofikiria ila sio uhalisia halisi yaan hajaingia field akajifanyia research yaan utafiti mwenyewe aone je kinachosemwa ni cha kweli?
Kwa Dunia ya sasa kama hautafuti mtoto kujichua ni njia salama na rahisi zaid.
 
Back
Top Bottom