Kujifunza programming bila kwenda chuo

Binadamu hatufanani mkuu kama wewe unaona kuna ugumu kwenye jambo fulani ni wewe usidhani wote tunapita kwenye njia moja kila mtu ananjia yake na ugumu wako kwa mwingine unaweza kuwa ndo utelezi
 
Binadamu hatufanani mkuu kama wewe unaona kuna ugumu kwenye jambo fulani ni wewe usidhani wote tunapita kwenye njia moja kila mtu ananjia yake na ugumu wako kwa mwingine unaweza kuwa ndo utelezi
Course ya Cs/ce ile yenyewe hainaga cha utelezi,utelezi upo kwa hao wanaokariri tu programming language ndo maana unaskia mtu anajifunza syntax mwaka mmoja alafu anajiita engineer. Na ndo maana wanaiogopa sana njia ya canan wanapita shortcut
 
Course ya Cs/ce ile yenyewe hainaga cha utelezi,utelezi upo kwa hao wanaokariri tu programming language ndo maana unaskia mtu anajifunza syntax mwaka mmoja alafu anajiita programmer. Na ndo maana wanaiogopa sana njia ya canan wanapita shortcut
Unapokosea ni pale unapomwita degree holder kwamba ni programmer... Anybody can be a programmer.. Programming is just a tool.. Anybody can learn how to use code..

Kuna tofauti kubwa sana between a Programmer and an Engineer/Scientist .. It takes months to learn how to code but knowing how to use it to get a job done ndio issue ilipo.. Ni sawa na uwezekano wa kujua maneno yote duniani ila ukashindwa kuyapanga vizuri kutoa taarifa inayotakiwa..

Zipo aspects za CS ambazo ni vigumu sana mtu kuwa self taught mfano AI, Data Science, Security.. Lakini programming anyone can do.. Programmers and coders go to bootcamps.. Engineers and scientists go to Universities. Huku china programming inafundishwa kama stadi za kazi kwenye polytechnic colleges (mf. VETA).
 
True. Ahsante kwa kunisahihisha ,ata ivyo nnapoongelea programmer akilini namaanisha engineer/ scientist. makosa tu madogo ya uwasilishaji.
 
Ndo maana unahaha.
Kama kasoma chini ya mwembe or MIT or Stanford it's not relevant to the discussion. Kwahiyo angesema kasoma Havard ungejibu "ndo maana unahaha" au ungetwist it to go with your thinking. You are not arguing against his point, you are attacking the person.

You went after another person saying wanatengeneza program uchwara na kuweka play store. That is miles better than nothing, a semester in databases, security, or whatever doesn't make you an expert. Stop being condescending

The only reason I can think off why unauliza watu wamesoma wapi, or baiting them to talk about "project uchwara" is to gauge who you are arguing with and whether or not you want to agree with them or not. Au unataka tukuulize wewe una projects gani and umesoma wapi so that you can brag about it? Argue against the points and so far you've been beating around the bush about what a degree gives you that being self-taught doesn't.
 
And this notion you have that web dev is for self-taught people is stupid and shows how arrogant you are, you assume it easy, and doesn't need any kind of understanding ya programming. Web development is a very fast changing environment, there are new frameworks every few years and of course to keep up with it you have to teach yourself. Some people will stick with legacy stuff but doesn't mean they any less technical. Unasema maths over and over, and you are yet to prove how that is handy for your day to day programming
 

Madogo Hamna kitu Hawa....Wanachukulia Vitu Rahisi....Hivi Vidogo Vinaafanya Project za Web Programming kwa kucopy free source online....Siku ya Presentation ukimuuliza hata Aelezee Data ktk Database yake Zina relate vipi ni Mtihani
Na hao ndo wanakuja huku na kujiita wasomi kwa kudharau wanaojifunza Online

Huyu dogo Kama sio Mwendawazim Basi ni Lofa
 
Mwanzilishi wa Instagram ni Self taught Programmer na kafanikiwa ku code Social Media Pendwa zaidi Duniani..... Despite kuwa ni Self taught Still ni Leading programmer katika Facebook Deep text Project ambayo Ni Fields nyingine kabisa ya A.I
Sasa Pimbi Mmoja tu anapotokea na kusema Web development Ni self taught pekee yake inashangaza
Hivi Vidogo vimekalili kuwa Elimu ni vyeti....Ndo maana tuna Rundo la Ma IT na Cs graduates kibao ambao wamejaa mtaanii kuuza karanga
Tech company kubwa Kama Google hawaangalii Cheti Chako au Uliposoma but what You can Offer
Watu tumesoma chuo but kiuhalisia skills nyingi za Programming tumejifunza wenyewe....Halafu Pimbi Kama huyu anakuja kuongea pumba
 
Best programer are hackers and 98% ya best hackers hawajakaa darasani.
 
Hata hujui unachozungumza bro. Hizi hizi code zimenipa ajira kwenye shirika kubwa tu hapa bongo na 6 figure salary. Pambana na u-jobless wako maana ungekuwa una value muda wako usingeleta such a shambolic discussion. You have time to post whatever you want. Hujakatazwa
Hahaha bro endelea kujifariji, na kama ww ni self taught dev Najua ss iv upo mbele ya screen unacode vi program uchwara (calculator, website,clone ya excel ,system ya shule and the like).kisha uvipandishe playstore kama ushaidi wa kazi ulizofanya!
 
Acha kuropoka viti usivovijua waanzilishi wote wa Instagram wamesoma stanford, mmoja engineering management na mwingine symbolic systems, course ambayo kimsingi ni artificial intelligence. Ushahidi na attach picha . Alafu unaropoka ropoka tu apa.
Idea kama ya Instagram sio ya kitoto ya kuvamia vamia tu . Ao watu wamekula course za kutosha ,nimeshakwambia self taught the best u can do ni html css na some javascript kwa ajili ya front end full stop!
 

Attachments

  • Screenshot_20190717-203617_Samsung Internet.jpg
    124.3 KB · Views: 40
  • Screenshot_20190717-203608_Samsung Internet.jpg
    54.6 KB · Views: 38
  • Screenshot_20190717-203601_Samsung Internet.jpg
    77 KB · Views: 42
  • Screenshot_20190717-203542_Samsung Internet.jpg
    72.1 KB · Views: 34
  • Screenshot_20190717-203516_Samsung Internet.jpg
    74.6 KB · Views: 38
Mkuu save your strengths. Huyu dogo lengo lake ni kupata attention so that he can convince himself that he's also relevant in the tech world. Achana nae.
 
Mkuu mbona hujashare izo code!!
 
Mkuu save your strengths. Huyu dogo lengo lake ni kupata attention so that he can convince himself that he's also relevant in the tech world. Achana nae.
Uyo muongo hajui anachokiongea waanzalishi wa Instagram wote wamepitia stanford mmoja kasoma engineering management mwingine cs( AI) ushahidi nimeweka ,yy anakurupuka tu anakuja kuropoka hovyo humu.
 
Mkuu save your strengths. Huyu dogo lengo lake ni kupata attention so that he can convince himself that he's also relevant in the tech world. Achana nae.
Pili, jifunze kutofautisha entrepreneurs na engineers, very important. Hao waanzilishi unaowaskia sijui Zuckerberg, spiegel,systrom, di angelo sio kwamba wote walicode wenyewe hizo tech products , wengi waliasisi tu idea na ku develop version za mwanzo kabisa za hizo products,afterr that waliajiri engineers ( mostly graduates) kuendeleza na kuinnovate.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…