Habar wana jukwaa naomba kufahamishwa ni site gani ninayoweza kupata free tutorial video za kujifunza computer from begining nina shauku ya kufahamu teknolojia.natanguliza shukran.
Ingia wwww.learnerstv.com link chagua computer scienceHabar wana jukwaa naomba kufahamishwa ni site gani ninayoweza kupata free tutorial video za kujifunza computer from begining nina shauku ya kufahamu teknolojia.natanguliza shukran.
Tumia google kuna site zaidi ya milioni unazoweza kujifunza free online, tumia youtube
Internet = Land of unlimited possibilities
Kazi ni kwako
ingia youtube search icdl au ecdl. au unaweza cheki vitabu vyao google
Ingia wwww.learnerstv.com link chagua computer science