UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
chakula gani nATAKIWA KULA BAADA TU YA KUJIFUNGUA KITU CHA KWANZA KULA.MSAADA
Dada hongera kumpata mwana....Vyakula vinategemea na geographical location yako...
Ungekuwa Uhayani ningekuambia wakupondee ndizi Bukoba mixer maziwa na siagi ya kutosha...M
Mbeya Uji wa ulezi/Matoke mix maziwa na vikorombwezo vya Kinyakyusa/Kisafa/Kimalila/Kindali...
Mara Uch wa Moto Mura...
Moshi unapiga Kitawa (ndizi zilizopondwa & maziwa mtindi) plus Mlaso(damu ya ng'ombe inayotolewa shingoni & maziwa)
umasaini Kitalolo (Uji & maziwa)
Wenye kujua zaidi wataongeza...
Ulaya mkate na sausageDada hongera kumpata mwana....Vyakula vinategemea na geographical location yako...
Ungekuwa Uhayani ningekuambia wakupondee ndizi Bukoba mixer maziwa na siagi ya kutosha...M
Mbeya Uji wa ulezi/Matoke mix maziwa na vikorombwezo vya Kinyakyusa/Kisafa/Kimalila/Kindali...
Mara Uch wa Moto Mura...
Moshi unapiga Kitawa (ndizi zilizopondwa & maziwa mtindi) plus Mlaso(damu ya ng'ombe inayotolewa shingoni & maziwa)
umasaini Kitalolo (Uji & maziwa)
Wenye kujua zaidi wataongeza...
kwanza kabisa ili
kuepuka chango
kunywa safari baridiiiii hiyo ni baada tu ya kudeliver
,hapo chango utaliskia kwa jirani,baada ya hapo kaa muda kidogo
muda piga maziwa fresh ya moto,ndio mitori na supu ifwate!!