Soma foundation course yoyote ya science halafu mwakani apply universityMimi ni mhitimu wa Diploma ya Water supply engineering kwa ufaulu wa GPA ya 2.4,Lakini napenda kujiendeleza nisome elimu ya juu degree kwa course inayohusiana na mambo hayo.
sasa naombeni kujua ni taratibu gani naweza fuata niweze fanikisha adhima yangu,,,, ikiwa kwamba sina kigezo cha kuwa na GPA ya 3.0...?
Nichek 0625755889Foundation course inakuwaje hii Mr Joseph.... tell me more please.
Gpa ya 2.4? Pole sana.Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Water supply engineering kwa ufaulu wa GPA ya 2.4,Lakini napenda kujiendeleza nisome elimu ya juu degree kwa course inayohusiana na mambo hayo.
sasa naombeni kujua ni taratibu gani naweza fuata niweze fanikisha adhima yangu,,,, ikiwa kwamba sina kigezo cha kuwa na GPA ya 3.0...?
Fact
Fact
Kwa kifupi nimeshindwa nimsaidie nn!! Angekua miaka yetu ningemwambia aombe chuo sasa kwa serikali ya jiwe na ndalichako wake unadhan gpa ya 2.4 itaweza pata nafasi degree? Au nyie hamuishi tanzania?
Asante sanaKwa kifupi nimeshindwa nimsaidie nn!! Angekua miaka yetu ningemwambia aombe chuo sasa kwa serikali ya jiwe na ndalichako wake unadhan gpa ya 2.4 itaweza pata nafasi degree? Au nyie hamuishi tanzania?
Mleta mada fwata ushauri uliopewa hapo juu kuhusu bridge kozi kama itafaa japo sina hakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cool..
Cool... But, I already got somewhere to start..... Thanks to Mr Pilot Joseph
Thanks... sasa hivi ndio nimemaliza kutuma.Use this link http://library.out.ac.tz:8090/index.php/registration
On application type choose diploma
OkayThanks... sasa hivi ndio nimemaliza kutuma.
nasubiri majibu kutoka kwao