Kujiamini sana kupita kiasi kulimponza yuda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujiamini sana kupita kiasi kulimponza yuda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebaeban, Jul 15, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Mheshiwa NDUGAI mbunge wa Kongwa, naibu spika wa bunge la muungano (kiyahudi knisset) anajiamini kupita kiasi amekuwa na overconfidence. Kujiamini sana ndiko kulikamponza Yusa Eskariote aitwe msaliti hadi leo. Injili zote nne (Yaohana,Marko,Yuda na Matayo) zinamwelezea Yuda kuwa alikuwa ni mfuasi wa Yesu (au Issa bin Marium) hivyo Yuda alikuw yupo kila mahali Yesu anapokwenda, alikuwa anajionea mwenyewe kwa macho yake ile miujiza mikuu Nabii Yesu aliyokuwa anaifanya mfano kufufuwa waliokufa, kutakasa wakoma, vipofu kuona, viwete kutembea n.k. Sasa wale wayahudi walipomwendea wampe vincenti ili akawaonyeshe Yesu akakubali, kukubali kwake ukifikiri haraka utazani Yuda alikuwa na tama ya hela, siyo Yuda aliwashangaa wale wayahudi moyoni alisema hawa wanamfahamu Yesu au wanamsikia aliwakubalia akachukua zile hela akawaonyeshe Yesu maana kwa kujiamini kwake sana kama Mheshimiwa Ndugai anavyojiamini alijua watashindwa kumkata halafu awacheke na kisha awarudishie vincenti vyao. Maskini Yuda kitu amabcho hakujua ni kwamba ilibidi mtu afe ili neno litimie, matokeo yake Yesu alikamatwa na Yuda ni msaliti hadi leo.


  Mheshimiwa Ndugai amelewa madaraka , akikaa kwenye kiti anajiamini , anaona mbingu zimeshuka ndio maana bila kusita anawatoa wabunge inje , anawazodoa wapiga kura wao kwamba wamechagua kituko mfano wa aliowazodoa akiwa kwenye kiti cha enzi ni Mheshimiwa Padri Msigwa na wapiga kura wake waIringa mjini Mheshiwa Halima Mdee na wapiga kura wake, na hatimae Mheshimiwa Dr. Ndungulile na wapiga kura wake.

  Kama Yuda Eskariote kitu ambacho Mheshiwa Ndugai hakijui ni kwamba na sisi wapiga kura wake tunamchora na tunamchora kweli,anafikiri anatufurahisha ,kumbe angejuwa.

  Kwa wale mliokuwepo miaka ya sabini mtaikumbuka ile kashifa ya Watergate iliyoyokea Marekani enzi za utawala wa Richard Nixson . Mwaka 2005 kashifa kama hiyo ilitokea wilaya ya Kongwa, mwanzoni Mheshiwa Ndugai alipochaguliwa kuwa mbunge wa Kongwa kwa mala ya kwanza na kumtupa Shamsa Mwangunga kwenye kura za maoni (wengine mliuliza Mwangunga alikuwa Ubungo, siyo Ubungo kenda 2010) kulitikea sisi wanakongwa tunaita kashifa ya Jackson Samwel. Mapema katika safu yake ya uongozi Mheshimiwa Rais alimchagua jamaa moja anaitwa Jackson Samwel kuwa mkurugenzi wa halimashauri ya Kongwa na Dr Fatuma alikuwa ndio Mganga Mkuu wa wilaya akawa na uhawala na Mheshimiwa Ndugai hilo halina ubishi, pia walikuwepo wakuu wa idara wengine, si ndio likaibuka suala la mashirika ya kupamabana na Tracoma (vikope) kwisha mda na kutaka kurenew, pakawepo na suala la kuomba mlungula, mzungu mmoja akiitwa Jane Turner wa HKI kwa niaba ya wenzake akawatolea inje, mda si mrefu wakuu wa idara wote wakahamishwa kwa mpigo akiwepo na Dr, Fatuma halafu na Mkurugenzi Jackson Samwel akarudi ofisi ya waziri mkuu. Wakaanza kusema mkurugenzi katuchoma alikuwa spy hivi na vile ndo kuitwa kashifa ya Jackson Samwel,. Sasa wale wakuu waliohamishwa chapuchapu ndio waliotowa siri kwamba kinara wa kudai mlungula kwa mashirika alikuwa ni Dr Fatuma wengine walilalamika hadharani kabisa kuwa wamekuwa victim of circumstance.  Na nyuma ya pazia akitajwa Mheshimiwa Ndugai maana rushwa iliyoombwa ni kubwa ni wazi wakati huo mheshimiwa alikuwa anakitaji sana hela maana alikuwa ametumia fedha nyingi sana kwenye kampeni na alikuwa ameishiwa.

  CHAKUWAFUKUZA WENZIE KWENYE BUNGE HADI INJE YA GATE NI NINI?

  Naomba kuwasilisha

  Leo nimekuja kivingine juzi mlisema nimekuja na chupi nimetukana.
   
Loading...