Kujenga taifa kwa kuimarisha elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujenga taifa kwa kuimarisha elimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kipala, Feb 22, 2009.

 1. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Wikipedia ya Kiswahili imeanzisha makala za karibu kila kata ya Tanzania. Makala hizi mara nyingi ni mafupifupi tu lakini kila msomaji ni huru kuongeza habari. Kwa sasa kata zote za mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kilimanjaro, Kigoma, Lindi, Mara, Mwanza, Mbeya, Morogoro, Mtwara, Pwani na Tanga zina makala tayari. Zinazobaki zitafuata.

  Wote mnakaribishwa kuongeza habari za mahali mnapotoka au mnapoishi.
  Kupitia kurasa za mikoa unafika kurasa za wilaya, na kwenye ukurasa wa kila wilaya kuna sanduku la kata zote.

  Mifano
  ni makala ya kata ya Utengule Usongwe katika Wilaya ya Mbeya Vijijini au Kariakoo zilizopanushwa tayari.

  Elimu inajenga taifa na wikipedia hii ni chombo cha kisasa kabisa! Karibuni
   
Loading...