mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
NI WIVU TU UNAO...Wadau nadhani mtakumbuka kuwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manji alikuwa na utaratibu wa kuwalipia Kadi na Viingilio Mashabiki wa Yanga.Tabia hiyo imezoeleka ka Mashabiki wa Yanga.Sasa hivi Yusuf Manji hayupo hivyo hakuna wa kuwalipia Mashabiki hao ndio maana Wanashindwa kwenda Uwanjani.Namshauri Mwenyekiti wa Yanga arudishe Utaratibu wa Yusuf Manji wa kuwalipia Mashabiki ili waujaze Uwanja.
Wivu wa nini sasa Kajazeni Uwanja mnataka matokeo kutoa Viingilio mikono ya birika Mpira ni Pesa mkuuNI WIVU TU UNAO...
WE SUBIRIWivu wa nini sasa Kajazeni Uwanja mnataka matokeo kutoa Viingilio mikono ya birika Mpira ni Pesa mkuu
NI WIVU TU UNAO...
SIKU YA MWANANCHI TULILIPIWA KIINGILIO NA MANJI?Kwani anachosema sio kweli? OK UWONGO WAKE UPO WAP?
Nani awaonee wivu yanga kwa hali waliyonayo sahv 😂 😂 😂 ....timu bovu+njaaaNI WIVU TU UNAO...
Manji angekuwepo mngeujaza uwanja ,nyie ni kwenye Facebook tuSIKU YA MWANANCHI TULILIPIWA KIINGILIO NA MANJI?