Kujaza uwanja mashabiki wa Yanga walizoea kulipiwa na Yusuf Manji

P

Payrol

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Messages
1,113
Points
2,000
P

Payrol

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2018
1,113 2,000
Yani Yanga wamekosa ubunifu kabsa, Timu ya wananchi ndo nini sasa?
Hata KMC ambao ndo timu ya wananchi hawajiiti hivi.
Sasa nyie Yanga mnajiita timu ya wananchi, ni wananchi wa wapi? Wa Tanzania?
Na kama ni timu ya wananchi wa Tanzania je, mnafikiri mnaweza mkaifanya Yanga iwe brand ya kimataifa?
Nani mwananchi wa nchi nyingne atakubali kuipenda Yanga ambayo ni timu ya wananchi wa Tanzania?
Kuweni wabunifu, Jipambanueni ninyi ni akina nani?
Wenzenu simba saizi wanajiita ni timu ya watu. Tayri wameshawapiga bao.
Kujiita timu ya watu manake haina mipaka hadi Africa nzima ni watu, dunia nzima ni watu.
Yanga acheni ujanja janja fanyeni kujibrand Sio kuweka vi slogani vyenu vya kipumbavu.
Timu inategemea wanachama afu mnajiita timu ya wananchi, na KMC inayotegemea kodi ya mwananchi ijiitaje sasa?
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
Mna tabu nyie!!! Yaani tusiojaza uwanja tumetulia nyie ndio munahangaika. Mutusaidie basi kuwa munaujaza.

Na pia niwakumbushe kwenye mechi za Ligi kuu muwe munajaa huko uwanjani sio kelele tu wakati kujaza kwenu Uwanja tunakujua fika ni kwa baadhi ya mechi na mechi.
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
SIKU YA MWANANCHI TULILIPIWA KIINGILIO NA MANJI?
Mwanzo wa uzi mpaka mwisho ni mikia tu wanapiga kelele. Aiseee!!! Utadhani wameanza zamani kujaza huo uwanja.

Kazi ipo Kaka.
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,470
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,470 2,000
Mwanzo wa uzi mpaka mwisho ni mikia tu wanapiga kelele. Aiseee!!! Utadhani wameanza zamani kujaza huo uwanja.

Kazi ipo Kaka.
Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharama
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharama
Niulize tu Mtani umeanza kulijua hili lini? Au baada ya kuja Mo.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mikia bwana.
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharama
Hivyo na siku ya wananchi tulilipiwa? 😳😳
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharama
Viingilio vya buku mbili mbili ndio vinakupa jeuri. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Nimekubali mnaujaza Uwanja Mtani. Nasubiria mechi na Kagera muujaze napo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
12,058
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
12,058 2,000
SIKU YA MWANANCHI TULILIPIWA KIINGILIO NA MANJI?
Sasa mnajaa mechi ya utambulisho na kirafiki, halafu mnakata upepo hamjai mechi ya mashindando, hizo akili zina joto au baridiiii?
 
T

Tui

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
899
Points
1,000
T

Tui

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
899 1,000
Yanga baridii maneno ya Rais Mstaafu JM Kikwete sio mimi.
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
12,058
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
12,058 2,000
Nimekubali mnaujaza Uwanja Mtani. Nasubiria mechi na Kagera muujaze napo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mawazo ya Yanga ni ya ligi ya Bara tu. Simba hawachagui mechi, wanajaa tu! Kumbuka walitoka kufungwa 5 na Al Ahly kule Cairo, kabla ya mechi nyingine kuchezwa iliyofuata ni hiyo hiyo Al Ahly hapa Dar, na watu walijaa kama wote! Sasa itakuwa mechi ya Kagera ambayo ilikuwa haiathiri ubingwa wa Simba?! Hebu fikirieni mechi za CAF CL ambazo walau mtaambulia 600M muwalipe akina Dante na Yondani, achaneni na mawazo ya Simba kufungwa na Kagera au Mbao, hizo ni timu za kutafutia tu tiketi ya kucheza CAF CL, ambapo Simba ilivuna 1.3B
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
Mawazo ya Yanga ni ya ligi ya Bara tu. Simba hawachagui mechi, wanajaa tu! Kumbuka walitoka kufungwa 5 na Al Ahly kule Cairo, kabla ya mechi nyingine kuchezwa iliyofuata ni hiyo hiyo Al Ahly hapa Dar, na watu walijaa kama wote! Sasa itakuwa mechi ya Kagera ambayo ilikuwa haiathiri ubingwa wa Simba?! Hebu fikirieni mechi za CAF CL ambazo walau mtaambulia 600M muwalipe akina Dante na Yondani, achaneni na mawazo ya Simba kufungwa na Kagera au Mbao, hizo ni timu za kutafutia tu tiketi ya kucheza CAF CL, ambapo Simba ilivuna 1.3B
Mmmh. Unasema huwa hamchagui mechi munajaa tu. Unaongea uhalisia Mkuu au ndio ile ilimradi?

Mbali na zile mechi tano sijui sita za Champions league na mechi ya simba na Yanga ni mechi gani nyingine mulijaza Uwanja?

Niambie. Na hapa tunasemea kujaza Uwanja na si hayo mengine.

Au ndio mnasemea mechi za Champions League pekee?
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
12,058
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
12,058 2,000

Jazeni uwanja muwalipe hawa vijana hela zao, maisha yao yote wanayaendesha kwa kupitia soka. Mtu anashinda kambini miezi mitatu, hana muda wala sehemu nyingine ya kutafutia fedha, halafu unakuja kumzungusha kumpa malipo yake halali? Nendeni uwanjani mpate hela za kuwaipa vijana

1565672325807-png.1179851 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
12,058
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
12,058 2,000
Mmmh. Unasema huwa hamchagui mechi munajaa tu. Unaongea uhalisia Mkuu au ndio ile ilimradi? Mbali na zile mechi tano sijui sita za Champions league na mechi ya simba na Yanga ni mechi gani nyingine mulijaza Uwanja? Niambie. Na hapa tunasemea kujaza Uwanja na si hayo mengine. Au ndio mnasemea mechi za Champions League pekee?
Ngoja niongee kwa vielelezo:

1565672629738-png.1179853

NB: Hapo makato ya TFF, BMT, sijui wachina nk yameshafanyika. Hiyo ni 60%. Kupata mapato yote, chukua hizo zidisha 100/60
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
Jazeni uwanja muwalipe hawa vijana hela zao, maisha yao yote wanayaendesha kwa kupitia soka. Mtu anashinda kambini miezi mitatu, hana muda wala sehemu nyingine ya kutafutia fedha, halafu unakuja kumzungusha kumpa malipo yake halali? Nendeni uwanjani mpate hela za kuwaipa vijana

View attachment 1179851
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yaani hiki ndio kipindi ambacho Watani zangu mnajifanya mna huruma kuliko kawaida. πŸ˜€πŸ˜€

Ya Yanga tuachieni Yanga.
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
12,058
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
12,058 2,000
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yaani hiki ndio kipindi ambacho Watani zangu mnajifanya mna huruma kuliko kawaida. πŸ˜€πŸ˜€
Ya Yanga tuachieni Yanga.
Sidhani kama ni kujifanya kuwa na huruma. Mara zote huwa mjajinasibu kuwa Wananchi mna washabiki wengi nchini kuliko Simba. Lakini hizi statistics zinatia shaka hoja hiyo. Jazeni mlinde hoja, vinginevyo nahisi si hivyo, maybe Simba wapo wengi zaidi nchini, kwa kuwa haiwezekani iwe kwa bahati mbaya kila mara
 
T

Tui

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
899
Points
1,000
T

Tui

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
899 1,000
Wameletewa ushahidi kwamba sio CAF tu bali hata ligi ya nyumbani. Wanabaki tuachieni timu yetu. Mnapoizungumzia Simba kwani timu yenu?Makwasukwasu baridii. Wakibanwa kidogo tu ulimi nje.
 
Forum statistics

Threads 1,335,055
Members 512,185
Posts 32,494,603
Top