Kujaza passward kwenye yahoo

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Naomba msaada mwenye kujua jinsi ya kuweka passward kwenye yahoo mail,maana kila nikijaribu inagoma nataka kujisajili.
 
mkuu inaandikaje? password lazima iwe na: character zaidi ya 6, kuwe na number atleast 1, na kuwe na herufi kubwa na ndogo.

somfano ni: Kebbyson1990
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…