Kujamba kwa Mwanamke wakati wa Tendo la Ndoa ni ishara ya nini?

Mkuu Kuna article yoyote tunayoweza fanya reference?

We unaona inaweza kuwepo kweli mkuu!!!

Kuwa siriaz basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii hali maranyingi utokea kupitia uke na hutokea pale ambapo uke unakua open sana na hewa ikaingia ndani so kujamba kule hutokea kutoa hewa iliyoingia ndani fatilia hii issue hutokea mnapokua mnasex ba feni inawapuliza sana na kwa upande mwingine ni ugonjwa mtu anapokua na loose vagina meaning uke hauko tight hewa huingia maranyingi hata bila ya kusex anaweza jamba so mtu huyu anashauriwa kumuona daktari wa vaginoplasty au afanye sana mazoezi ya kegels
 
Natumai hamjambo wanabodi!

Naomba mwenye sababu za kitaalam atoe mchango wake hapa, kwa nini hali hii inawatokea baadhi ya wanawake?
Je, ni ishara ya Jambo Fulani?
Je, Nini hasa kinapelekea hali hiyo?
Je, Kama ni tatizo linatibiwaje?

NB
Mada hii ni sehemu tu ya kupata sababu na ufumbuzi wa Jambo Hilo, nmekutana na maswali hayo kwa wanawaka tofauti tofauti, naomba wadau tupeane ujuzi wa swala hili!
Hapo ni signal zimekamata pande zote za dishi.
 
Back
Top Bottom