Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Apr 9, 2013 #1 Kuna wanyama kama ngombe anatabia ya kuenda haja huku anatenbea kwa madhumuni ya kuokoa muda. Je ndugu unajitahidi kiasi gani katika kuokoa muda wako?
Kuna wanyama kama ngombe anatabia ya kuenda haja huku anatenbea kwa madhumuni ya kuokoa muda. Je ndugu unajitahidi kiasi gani katika kuokoa muda wako?