Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Ulikuwa safari (one way), lakini ukashuhudia mamia ya mabasi kutoka pande zote yakielekea Rorya.
Hizo pande zote ulifanikiwa kuziona ukiwa unaendelea na safari yako.?
Una uwezo mkubwa sana.
Ulitaka waende kwa mguu?Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Mbona wewe hawakukushinikiza mlipokutana nao? Sisi kwetu kama watu wanaenda kuzika au vitani mkikutana ni lazima ushiriki, hii yako vipi?Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
UmepanikiNa wewe fanya mkutano na ulazimishe watu waje
Hilo lipo wazi, ukitaka kujua ukweli waambie katiba mpya na tume huru wanaruka kama swala.Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Wanaenda kushuhudia maigizo pamoja na kusombwa kwenye maloriSasa mtu mara anakuja na lori
Mara ngamia, mara baiskeli mara boda
Kwanini wasijae
Ova
Mmmh....kwamba akifika Iringa ataomba kuingia 'kimasihi' akiwa juu ya mbwa? 😆🤣