Kuitwa Mama Fulani na Baba Fulani

Mie niiteni mama totooo langu. Napendaje? I just cant enough if this.
 
Tatzo langu n kwann jina linatumika la mtoto wa kwanza tu?inawaathr kisaikolojia watoto wengne
 

Jamaa katoa mfano hai we umeubadilisha umekuwa mfano mfu!!
 
nalipenda jina langu jamani mwe!
just ..................................
 
unajua ukiitwa jina la mtoto inaleta heshima fulani kwenye jamiii
we mwenyewe unajisikia rahaaaaaaaaaaaa kuwa umezaaaaa me sioni kama inaleta ubaguzi kwa wasiozaaaaa kwa wao wanaweza kuitwa kwa majina ya waume zao
 
ni tamaduni2 za watu na mazoea,mfano sisi tunamuita mama na nje wanamuita jina la mumewe yan 'mrs' then jina la mumewe na heshima ipo2 na sidhan kama kuzaa ndio kuheshimiwa kwa 100% may be ulioa/olewa kidoogo...Lakin kimataifa huwez kuitwa mama/baba fulani hata km huna cheo chochote utaitwa jina lako or la ukoo utasikia tu ''Welcome mr Ozily''sio baba nanhii.....Am done
 
mimi ndio mswahili NAMBARI MOJA.
naona raha sana mtu akisema we wavisa maswahili...
 
We msukuma hujambo? Mwanao ana miaka mingapi siku hizi mama nanihii 😀?
 
Catherine za siku dada yangu?
 
nalipenda jina langu jamani mwe!
just ..................................
Five years back!!
And I still say the same!!
I love my name.
Haipunguzi popote kuwa ni mama wa watoto watatu, first born akiwa on her 18th.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…