Kuitwa kwenye usaili.

Kuitwa kwenye usaili.

Amon simion

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Wapendwa wana jamii, Naomba nifahamu, Nimeitwa kwenye usaili, Nimefanyiwa usaili, Nikaambiwa ningepigiwa simu kujulishwa, Mpaka leo sijapigiwa, Sasa swali langu ambalo nahitaji ushauri, Je? Ninaweza kufuatilia jibu au la?
 
It is sad when u are ril in need of an advice halafu watu wengine wanajaribu too hard to make ridicule out of your situation....U should definitely call them so that it shows that u ril need that job..i was once in a similar situation like yours and nikawatafuta and they told me watanitumia barua ya kuitwa kazini and they did...so usikate tamaa...find them
 
Kwanza Interview yenyewe umefanyiwa, hivyo hamna aja yakukuita maana wewe ni KILAZA
 
It is sad when u are ril in need of an advice halafu watu wengine wanajaribu too hard to make ridicule out of your situation....U should definitely call them so that it shows that u ril need that job..i was once in a similar situation like yours and nikawatafuta and they told me watanitumia barua ya kuitwa kazini and they did...so usikate tamaa...find them

Thanks for ushauri wako kiongozi ntajaribu kuwafuata maana maisha ni kutafuta mkuu. Kukata tamaa ni baada kifo.
 
Back
Top Bottom