Jamani naomba msaada wenu hivi usaili wa polisi kwa form 4 na 6 haujaisha bado? na wa graduate kutoka chuo unaanza lini? coz mara ya mwisho wadau walisema tarehe 3 mwezi huu lazima graduate kutoka vyuoni waitwe mbona kimya? mwenye taarifa naombeni anijuze tafadhali?

Aiseeeeh! Me nishajiuliza sana kuhusu usaili huu. Jana ilinibidi niende hadi kwa OCS wa kituo kilichopo karibu nami. Ila akaniambia bado kidogo twapaswa kuwa wavumilivu.
Wadau mi nilisikia huu usaili kwa waliomaliza vyuo, utafanyika trh 3, mwez huu. Ila nauna kama siku zinaenda na hakuna lolote jipya, linalotokea. Plz mwenye info za uhakika atujulishe jamani!
Naona majina yametoka ya vijana wa Form 4 na 6 waliomaliza usaili tarehe 3. Vijana tembeleeni kwenye website ya police mjionee. Nawale magraduate msiofanya mazoezi jiandaeni kikamilifu nadhani mambo yapo jikoni. Hadi terehe 25 kitaeleweka tu. OVERRRR.