KUITWA KWENYE USAILI PCCB

KUITWA KWENYE USAILI PCCB

king chibya

Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
91
Reaction score
148
Wale mliomba kazi PCCB mkeka umetoka, jongeeni mkajionee kama upo kwenye Orodha au umetemwa!

Kila la kheri!
20211229_112028.jpeg
 
Safi sana, ni wakati wa kulitumikia taifa vijana tupige kazi
 
sasa amptitude test tu, unaita watu dodoma...hiyo siinaweza tu kufanyika online ukachuja na ukabaki na cream unayoitaka...then ukawapiga oral tena online ukachuja then watakaobaki unaangalia mikoa wanayotoka wanareport takukuru mkoa wanapigwa interview mnamalizana.....
 
Ebu rudia kusoma wenda ukaelewa
 
wapuuzi hao washaweka watu wao. Hayo majina wametoa kiushaidi tuu kuwapoteza maboya.
Bado zipo za wengine.

Mie nimeweka mtego hapo nitashuhudia hilo ulilolisema kama kweli ama lah.

Tuombeane uzima tuje kuweka ushahidi.
 
Back
Top Bottom