Kuitwa kwenye usaili Ardhi University

Kuitwa kwenye usaili Ardhi University

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
Habari wanaJF,

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala , ChuoKikuu Ardhi (ARDHI UNIVERSITY) anawatangazia waombaji wafuatao kuhudhuria kwenye Usaili wa Mchujo kwa kada mbali mbali siku yaJumanne tarehe 22/03/2016, saa moja na nusu asubuhi (1:30) Chuo Kikuu Ardhi (Ardhi University Campus).

Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti halisiutafanyika kabla ya usaili kuanza.

2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, benki, kazi, hati ya kusafiria n.k

3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne, sita,Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.

4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hatima tokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.

6.Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.

7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili

8. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)

9. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Nimeambatanisha PDF File yenye orodha ya majina.
 

Attachments

Daa hd hawa washaita zile za chuo cha muhimbili ni lini? Tukapasue pepa
 
tupeane ht dondoo bas za kesho japo pepa za utumish hazielewekag,,
 
Back
Top Bottom