Kuitwa kwenye usahili PPF

Kuitwa kwenye usahili PPF

Cha msingi ni kujiandaa na kufahamu vyema majukumu ya kazi uliyokuwa umeomba
 
soma web yao ujue product na service na pia ujue mambo ya retirement benefit.

ukiona swali gumu sana andika UKAWA AU LOWASA na utapata marks.

all the best.
 
KAKA NAMI WAMENITUMIA ASEE,0657111251,Nichek tubonge kidogo ndugu
 
Daaah hata mm nimeitwa mwongozo tafadhali liaison operation trainee
 
Hawa jamaa Wana maana... Usishangae kuulizwa juzi Magufuli alikua anafanya kampeni mkoa gani.?
 
Leo zilikuwepo awamu tatu na kila awamu INA watu kama mia tano.post ni sita tu.inaboa kweli
 
Back
Top Bottom