Kuitwa kwenye interview tume ya mahakama

Kuitwa kwenye interview tume ya mahakama

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
4,832
Reaction score
5,632
Wadau nawasalimu, jamani tume ya mahakama walitangaza nafasi za kazi nyingi ikiwemo ya wahasibu wasaidizi na nyinginezo, je izi nafasi ndo zimepigwa kapuni au inakuwaje wakuu mana ni kitambo sana. mwenye ufahamu wadau atupe kinagaubaga. Nawakilisha wakuu
 
Mbona hata mwez haujaisha toka zmetangazwa! Kuwa Na subira kijana
 
Mbona hata mwez haujaisha toka zmetangazwa! Kuwa Na subira kijana

Mkuu kuna nafasi zilitangazwa nyingi mno takribani ata miezi 3 imepita badae wakatangaza nyingine sijui ndo kwishnei
 
Zile za mara ya kwanza watu walishaanza na kazi mbona??? Hiz za September ndo bado hawajaita
 
jamani tazameni gazeti la habari leo la tarehe 28 sept atakaelipata anifahamishe na mimi! wameita kwenye usaili
 
Nimesikia hata dailynews la trh 28 jamani ataeliona na mimi niliomba
 
Back
Top Bottom