Kuitwa kazini PCCB

Kuitwa kazini PCCB

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Habari za saa hizi wana JF especially wahanga wenzangu wakosefu wa ajira.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo dodosa,nimepata fununu kutoka chanzo changu cha habari {kutoka PCCB} ya kwamba wataita watu kazini kwa awamu ya pili kuhudhuria semina elekezi,hii ni kufuatia usaili {aptitude test} uliofanyika siku kadhaa nyuma.
Kama kuna yeyote anayefahamu juu ya jambo hili ningependa atujuze zaidi juu ya uhalali na uhalisia wa habari hii,
Ni mwaka wa nne sasa mwenzenu natanga na njia bila kazi.
Wenu Ndg Michepuko,
Mhanga mkosefu sugu wa ajira.
 
Wewe mbona unamkatisha mwenzio tamaa, tumwombe Mungu yanaweza tokea, ingawa wale wa awamu ya kwanza wana report kesho au mwenzetu Ni mkubwa uko Pccb
 
Habari za saa hizi wana JF especially wahanga wenzangu wakosefu wa ajira.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo dodosa,nimepata fununu kutoka chanzo changu cha habari {kutoka PCCB} ya kwamba wataita watu kazini kwa awamu ya pili kuhudhuria semina elekezi,hii ni kufuatia usaili {aptitude test} uliofanyika siku kadhaa nyuma.
Kama kuna yeyote anayefahamu juu ya jambo hili ningependa atujuze zaidi juu ya uhalali na uhalisia wa habari hii,
Ni mwaka wa nne sasa mwenzenu natanga na njia bila kazi.
Wenu Ndg Michepuko,
Mhanga mkosefu sugu wa ajira.

Hakuna dhambi kubwa kama kukata tamaa!
 
Mkuu kama ni dhambi mi najiona kabisa ninavyoielekea,ni miaka mine sasa nimechacha kijiweni.
 
Pole sana ndugu yangu,uckate tamaa jua riziki yako ipo wakati wa Bwana ukifika utapata tu haijalishi umekaa muda gani kijiweni.Mshirikishe Mungu pia kwani yeye ndo kila kitu amini tu!
 
pole sana ndugu ila inaonesha kila mtu anaogopa kusema kama kuna batch two.
 
batch ya pili majina yalitoka na ile batch ya kwanza na wanaingia training trh 04-08-2014. Kama haupo Kwenye hizo batch mbili WE SAHAU TU SUBIRI WAKITANGAZA TENA
 
Kuna rafiki yangu jina lake lilitoka kwenda training ya pccb ila hajapata barua afanye nini? Au ndo ile only succefuly candidate are contacted
 
aaa
Kuna rafiki yangu jina lake lilitoka kwenda training ya pccb ila hajapata barua afanye nini? Au ndo ile only succefuly candidate are contacted
Jina likitoka kweye websit yao unaweza kwenda ofisini kwao ku clam.
 
Uckate tamaa michepuko ipo cku. Mim mwenyew wamenichinjia bahari bt cjakata tamaa, najua one day tena ntakuwa afisa usalama.
 
leo hii kuna rafik angu mmoja kanambia iko kitu kuwa anna nasikia watu wanaitwa pccb tena asa sikutaka kumchimba sana ye kapata wap izo story ht mm nilfanya oral interview bt job hola niko kitaa 4 yrs.zen imani ni kitu kikubwa sana zaidi tu tuendelee kuwa na iman ndani ya iman hutokea.cz kuna wengene hawataenda trainung wataona ni kitu ambacho hawawez wanahis kuna mateso au wengne walishaopata job tayar so unazan izo nafas ata zi fil nan km co cc wa pending,hahaha
 
Back
Top Bottom