Kuitwa kazini-PCCB

hongereni mliobahatika, mkienda timizeni majukumu yenu wakuu
 
Asante Yesu kwa kuyapokea maombi yangu, ni miaka 4 sasa tangu niingie mtaani, lakini hatimae umeniona!!!!
 
Pia kuna mtu bega nzagi marabi nae pia hayupo kwenye list ya walioitwa oral but jina lake lipo kwenye civil and building
 
Pia kuna mtu bega nzagi marabi nae pia hayupo kwenye list ya walioitwa oral but jina lake lipo kwenye civil and building

Hao watakuwa wale walio enda makao makuu kulalamika walipata marks za juu hawakuita oral ndo hao.
 
:faint2:ambao hawaitwa hata musiogope wanaita zamu kwa zamu km ulifika kwenye oral jua ajira unayo pia kazana kumuomba mungu :faint2:
 
Hongera sana kaka
Mungu ni mwema, zid kumuomba sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Siku hizi bila kujulikana hupati kazi...........nashukuru Mungu nimekosa pccb ila iko siku
 
Amen
 
Jamani kwa sisi tuliofanya mtihani tarehe 08/01/2022, Tutegemee matokeo kutoka kwa lini maana tulikuwa watu wengi sana pale dododma na sijui atama ya maisha yangu maana tangu 2015 nipo tu kitaa sina mbele wala nyuma, ata sufulia likipotea nyumbani naambiwa ni mimi ndio nimechukua maana sina kazi
 
Usikate tamaa usichoke kua na subira hakuna ulichomkosea mungu ila mungu lazima akupitishe njia ngumu ili uwe Hodari amini nakwambia before May mosi utakua kazini
 
Usikate tamaa usichoke kua na subira hakuna ulichomkosea mungu ila mungu lazima akupitishe njia ngumu ili uwe Hodari amini nakwambia before May mosi utakua kazini
Kwa maneno yako aya ikawe Heri
 
babu mambo gani ya kushtuana hayo, tuna watoto walikwenda Dodoma kwa ajili ya interview!!
 
eti sufuria ikipotea naambiwa mm mana sina kazi
 
πŸ˜‡πŸ™ƒπŸ™‚πŸ˜‰πŸ˜„
 
Hellow ndugu zangu nataka kujua maswali gani wanauliza kwenye oral ya pccb ili na Sisi watoto wa wakulima tujiandae

Sent using komputa mpakato
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…