Usichukulie wa2 wachache ukafanya comparison kwa wa2 wote mkuu. Mbona kuna wa2 ambao co waislam wameitwa na wana matokeo mabovu tu? Hiyo ni bahati ya m2 kijana mi mbona huku cjaitwa wkt ukiangalia vyeti vyangu vinaonesha kamanimesoma shule za kiisalam?hiyo bahati ya m2
Ikibidi wasiite tena NSSF waiite Muslim Social Security Fund (MSSF) itanoga.
Nasisitiza watashitakiwa tu muda mambo yakiharibika. Wako wapi wanyarwanda waliochochea ukabila? kumbukeni mpaka wahariri wa magazeti na radio za vituo vilivyochochea ukabila vimeshtakiwa Rwanda. Udini sio mzuri jamani, huwezi kuishi bila watu wa dini yako peke yao?
mm mwenyewe niliitwa ile ya pili na nimemwagwa na cjui kwa nn wakati hakuna hata swali moja waliloniuliza lililonishinda,sasa cjui wametumia vgezo gani,hapa nimechoka kabisaaa,kwani mshahara wao sh ngapi kwa wanaoanza?
Habari za leo! Natafuta kazi. Nimemaliza chuo mwaka jana pale IFM. Nina digree ya General Admin. Tax. Popote pale nipo tayar kufanya kazi. Cm yangu. 0714430966
naam mjukuu wa mtei,vp kuhusiana na tra vp hazina vp tanapa etc nako tupaiteje,ninyi wakataaloki ni wa kubebwa kwa kuwa mbeleko zenu zimechanika hamuishi kubwabwaja kila kukicha tumewachoka sasa na chama chenu cha chadomo
Asante mkuu kwa udadaVUZI yakinifuIkibidi wasiite tena NSSF waiite Muslim Social Security Fund (MSSF) itanoga.
Nasisitiza watashitakiwa tu muda mambo yakiharibika. Wako wapi wanyarwanda waliochochea ukabila? kumbukeni mpaka wahariri wa magazeti na radio za vituo vilivyochochea ukabila vimeshtakiwa Rwanda. Udini sio mzuri jamani, huwezi kuishi bila watu wa dini yako peke yao?
jamani mm sijaelewa inamaana hizi tulizofanya 2nd interview hapa juzi juzi ndo wameita watu kazini moja kwa moja au vipi?
Usipate pressure bure,huo Uzi ni wa longi 2012.