wadadawanne
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 119
- 24
utumishi wako makini sana. mkuu wadadawanne tuhuma zako nzito sana mkuu. tunaomba uweke maelezo vizuri kama lengo lako ni zuri.
Wewe ndio walewaleMdau wadadawanne hizi tuhuma zako mbona zinatia mashaka lkn, mbona huziweki vizuri ili zieleweke sawasawa lkn km ni za ukweli? Kwa sababu unaongea vitu vingi kwa wakati mmoja ukichanganya na vingine ambavyo kama ni vya kweli ulipaswa uwe ulishaviongea toka siku za huko nyuma (i.e mzee fulani kuwapa watu majibu). Kwani mashaka yako wewe ni kwa sababu uliona mzee fulani akiwapa watu majibu au mashaka yako wewe ni kwa sababu umesikia watu wamepata barua za kuitwa wkt majina kwenye website yao hawajaweka? Ebu fafanua vizuri basi mdau tukuelewe, OTHERWISE malalamiko yako yanaonekana kutokuwa na mashiko kwa sababu ya kukosa clear clarification.
Jamani inasikitisha sana kuona watu wanatumiwa barua ya kuitwa kazini bila kutoa majina kwenye website yao, interview ya law secretary ilikuwa na utoaji wa maswali ambao ulifanywa na mzee mmoja aliekuwa anawapa watu maswali akijidai kuja na kuita jina la mtu anaemjua anafika anampa majibu na waliopewa wameitwa kazini, jaman Tanzania hii hali ya kujuana kwa kazi itaisha lini sie ambao hatuna tunaowajua ndo hatutakaa tufanye kazi??
Written test yenyewe jioni ya ijumaa watu walikuwa na test yote, haya kwa interview nayo watumishi wa secretariat wanatoa majibu kwa watu wanaowajua na hao watu wamepata hizo nafasi, mambo ya mlinde shemeji yako, tutafika kweliii!