Kuitwa interview tiGO

Du c mchezo...nawashukuruni nyote kwa ushauri wenu
 
Habar zenu. Nimetumiwa msg na inanitaka nikafanye interview Tigo siku ya Jumamosi trh 1/3, Nami niko mkoani. Vipi hawa watu sio wababaishaji mana nisije nikapoteza nauli yangu. Ushauri pls
Ulipokuwa unaomba hiyo kazi ulifikiri utaitwa kuanza kazi bila kufanya interview?
 
Customer care ya tigo ipo chini ya wahindi kama mnavyojua wahindi tena.

Msikurupuke jamani... customer care wote wa tigo wameajiriwa na agent NFT hao... sasa hawa wahindi wametokea wapi mana sijawah ona mhindi pande hzo!! Labda useme upande wa uuzaji wa cm YES ni mhindi zile sio za tigo...

Na pia NFT haijawa burned bado though kuna hati hati ya tigo kuvunja mkataba nao..

Kama umeitwa kwenye interview nenda tuu mana hujaspecify ni kaz gani wamekuitia hlf uwe unasema uliiona wapi sio unauliza tuu!!
 

Customer care ya wapi unayozungumza....Callcenter ama branch...km callcenter ni wahindi inaitwa ISON na sio hao NFT unaowazungumzia.usikurupuke kuconlude
 
Habar zenu.

Nimetumiwa msg na inanitaka nikafanye interview Tigo siku ya Jumamosi trh 1/3, Nami niko mkoani.

Vipi hawa watu sio wababaishaji mana nisije nikapoteza nauli yangu.

Ushauri pls

Hakuna dharau kubwa katika career kama kuto attend interview.

Wamekupa heshima kwa kukuthibitishia kuwa CV yako inakubalika katika soko la ajira. Nenda, usiache!

Wapo waliotuma applications zaidi ya miaka miwili, hawajawahi kuitwa interview!!!!!!!!!!!! Nenda, usiache.
 
Customer care ya wapi unayozungumza....Callcenter ama branch...km callcenter ni wahindi inaitwa ISON na sio hao NFT unaowazungumzia.usikurupuke kuconlude

Ni hyo ison ndugu
 
Ni hakika hakuna ubabaishaji.ishu iko serious hiyo nenda hutapoteza nauli yako
 
mbona hukujiuliza hilo swali kabla hujatuma application?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…