Kama hujapata kazi nenda ufanye interview ila kama kazi unayo na unaona kama ni nzuri kuliko nafasi uliyoomba unaweza kuacha. The choice is yours make kazi ni maisha na maisha yenyewe ni ya kwako1

Nenda ila ukiona mara wanakuambia tuma pesa mara vile jua ni matapeli. Halafu pia fanya kazi ya ziada nenda webpage ya tigo au ofisi za mkoa ulipo upate namba ya makao makuu ili upate uhakika!!!! Utapeli mwingi siku hizi sana hasa kwa sms
kiushauri fanya interview as an experience ya kujieleza pamoja na kukutana na changa moto...
ila kama ni ajira ..kuwa makini mno maana .. u customer care tena wale wakusubiri simu ni kazi mno tena ngumu mno ni afadhali uendelee na ku volunteer ambapo unaeza jenga uzoefu na na kuweza kutumia muda wako kutafuta sehemu uipendayo...kuliko kazi ambayo unalimitiwa time plus uhuru plus safety and too risk and stressiful .. dealing with people's anger
kama utaeza nenda...riziq popote..na kila mbwa anasiku yake