Kuitwa interview 2, siku moja

Kuitwa interview 2, siku moja

kyone

New Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Wadau mimi ni mwanachama mpya kwenye forum hii, naulizia kuwa ukiitwa interview 2 tarehe moja unafanyeje, je unaweza
kuomba upande mmoja kukupangia tarehe nyingine au kisheria hairuhusiwi?
 
Mkuu inawezekana, fanya analysis kwanza wapi italipa zaidi au possibility ya kupata ni kubwa zaidi then piga simu kwa how unaowapa low priority kwamba utachelewa au utafanya siku inayofuata
 
kuna baadhi ya mashirika yanatoa siku mbili kuinterview but mengi yao huwa ni siku moja tu! kwa hiyo ni choice yako kujua wapi kuna maslahi zaidi zaaidi ya hapo ujue kama imekula kwako man!
 
hapo nikuangalia linalolipa ambalo halilipi waombe wakusegezee siku au muda
 
Inawezekana kama shirika litakubal kukufanyia interview siku inayofuata
Ila jitahid kuwa na sababu ya kimsing
 
Back
Top Bottom