Sasa hapo tunaenda nje ya topic. Kujua jina la kiwanda na location pamoja na mambo ya kulipa kodi sio kigezo. Kwani ni bidhaa ngapi zenye ubora hafifu na viwanda vinajulikana? What about SINGSUNG tv na fridges ya singapore? Hilo ni swala la popularity na sio original or fake. Na kama hao jamaa hawana kiwanda basi tecno zinalimwa au???