Kachero Mmakonde
Member
- Oct 13, 2016
- 19
- 24
Nimeisoma katika vizuri nikasoma zile ahadi na ilani nikaona tusimlaumu Mkuu wa Nchi wala Makonda na ndio maana sisi vijana wengi wa CCM hatueleweki kwa sababu kuzisimamia yataka Moyo ni Ngumu kiuhalisia ni sawa na kuiishi Sheria ya 10 Ktk Biblia Kuzini yaani kutozini yataka Moyo jamani tumuacheni Makonda