Nakuchukia sana JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 549 Reaction score 1,072 Mar 1, 2026 #1 Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem. Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani
Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem. Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani
M matical JF-Expert Member Joined Nov 27, 2025 Posts 841 Reaction score 1,676 Mar 1, 2026 #2 Hiyo ni kama tu kuwa na gari isiyo na bima
Malaika Gabrieli JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 3,294 Reaction score 6,123 Mar 1, 2026 #3 Pole sana, tafuta mtaalamu wa afya ya akili.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,951 Mar 1, 2026 #4 Haya, hongera.
Amo1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 1,612 Reaction score 2,381 Mar 1, 2026 #5 Jiandae na ukimwi
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,951 Mar 1, 2026 #6 Mwanzo 1:28 Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
Mwanzo 1:28 Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,179 Reaction score 34,435 Mar 1, 2026 #7 Kwa uandishi huu baki single.
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,390 Reaction score 15,193 Mar 1, 2026 #9 upweke,upweke,upweke
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,115 Reaction score 18,007 Mar 1, 2026 #10 Ke or Me?
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 6,631 Reaction score 18,669 Mar 1, 2026 #11 Nipo single lakini ,sikubaliani unachosema... Inabidi tutoke huku kwenye hiki kifungo . Mungu atufanyie wepesi
Nipo single lakini ,sikubaliani unachosema... Inabidi tutoke huku kwenye hiki kifungo . Mungu atufanyie wepesi
Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 1,370 Reaction score 2,359 Mar 2, 2026 #12 kama said: Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem. Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani Click to expand... hii vita uliyoianzisha sioni ukishinda, ngoja waliopo kwenye ndoa wamalize kuosha vyombo hasira zao zote watakuja nazo hapa
kama said: Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem. Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani Click to expand... hii vita uliyoianzisha sioni ukishinda, ngoja waliopo kwenye ndoa wamalize kuosha vyombo hasira zao zote watakuja nazo hapa