Nenda Kaishi naye kwani Huwa Mnakutania Hotel au Guest mnavyokuwa mnahalalisha huo Uboy Friend wenu... Watu wengine BwanaNdugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
ngoja waje mkuuMaana na mimi niko katikati ya njia nne. [emoji23][emoji23]
anataka karibu tuishiAnatarajia mfunge ndoa ya kidini, kimila au serikalini?
nikaishi nae Bila ndoa na watoto je?Nenda Kaishi naye kwani Huwa Mnakutania Hotel au Guest mnavyokuwa mnahalalisha huo Uboy Friend wenu... Watu wengine Bwana
Wee nenda tu kaishi, mkimaliza miezi mitatu mko naye tayari ni ndoa ya kimila!!!!anataka karibu tuishi
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Ukishaishi Na Mwanaume More Than Three Month Tayari Ni Mke Na Mume Hata Mkiachana Kama Kulikuwa Na Mali Lazima Mtagawana Pasu Kwa Pasu Kwa Mujibu Wa Sheria Ya Tanzanianikaishi nae Bila ndoa na watoto je?
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Hiv kumbe mke wa prof J ndie mama ake lissa!!aise nilikuwa sijui kabisa.kuna watu hawasahau jmni.messi kaishi na mchumba miaka 10 na watoto wawil ila kamuoa juzi tu... prof jay nae lisa ana miaka 14 ndio wanaoana wazazi..
beckham nae aliishi sana na victoria...
shida wanawake wa kisasa mnapenda mashela kuliko maisha halisia
Huyu Anataka Harusi Siyo NdoaSection 160 (1) of the Law of Marriage Act ( CAP 29 R.E. 2002) says that where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.
Nimekupa angalizo kwa mujibu wa sheria, ila akili kumkichwa, au wewe unataka ndoa sherehe ya ukumbini
Endelezeni maisha hakuna tatizoNdugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
Jamani Naomba Mnipe Tofauti kati ya Hawa watu.Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada