Kuishi na mwanaume bila ndoa

Kuishi na mwanaume bila ndoa

Tuchki

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
1,740
Reaction score
1,446
Ndugu zangu natumai hamjambo,

Hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.

Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.

Je faida na hasara zake hua ni zipi? Kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa.

Naombeni msaada
 
Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.

Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.

Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
Nenda Kaishi naye kwani Huwa Mnakutania Hotel au Guest mnavyokuwa mnahalalisha huo Uboy Friend wenu... Watu wengine Bwana
 
Nenda Kaishi naye kwani Huwa Mnakutania Hotel au Guest mnavyokuwa mnahalalisha huo Uboy Friend wenu... Watu wengine Bwana
nikaishi nae Bila ndoa na watoto je?

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kununua suti au vazi bila kwanza kulijaribu. Watu wengi hawawezi. Ukifanya hivyo halafu baadaye ugundue kwamba halikutoshi, utakuwa umepoteza wakati na pesa zako.

Unless unajua size yako na unahakika litafiti.

Sijasema mm....na mm nimesikia sehemu.
 
mmmnh pole sana,

hapo ndipo tunapotautiana wanaume na wanawake,

sisi wanawake ndoa ni upendo heshima,tuko tayari (baadhi)tuolewe na mtu tusiyempenda,

wakati wanaume ndoa ni kifungo,lol

hivi haviwezi kuchanganyikana,

mwambie mfunge ndoa,hata kama sio kubwa,

kaa nae kama mwaka,halafu mwambie mfunge ndoa,

akionyesha hana nia hio then labda sio ubavu wako,
 
Section 160 (1) of the Law of Marriage Act ( CAP 29 R.E. 2002) says that where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.

Nimekupa angalizo kwa mujibu wa sheria, ila akili kumkichwa, au wewe unataka ndoa sherehe ya ukumbini.
Hii ipo sana mjini inaitwa kusogezana, wajanja wengi wanafanya hivyo then baadae wanakuja kubariki hicho kitumbua, tu kama alivyofanya mdau prof jizo hivi karibuni
 
messi kaishi na mchumba miaka 10 na watoto wawil ila kamuoa juzi tu... prof jay nae lisa ana miaka 14 ndio wanaoana wazazi..

beckham nae aliishi sana na victoria...

shida wanawake wa kisasa mnapenda mashela kuliko maisha halisia
Hiv kumbe mke wa prof J ndie mama ake lissa!!aise nilikuwa sijui kabisa.kuna watu hawasahau jmni.

Hongera Prof J
 
Section 160 (1) of the Law of Marriage Act ( CAP 29 R.E. 2002) says that where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.

Nimekupa angalizo kwa mujibu wa sheria, ila akili kumkichwa, au wewe unataka ndoa sherehe ya ukumbini
Huyu Anataka Harusi Siyo Ndoa
 
Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.

Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.

Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
Endelezeni maisha hakuna tatizo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.

Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.

Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
Jamani Naomba Mnipe Tofauti kati ya Hawa watu.

  • Boy Friend
  • Mchumba
  • Mwanaume Wangu
  • Baby Wangu
  • Husband To be

Nani anayesemwa hapo kati ya hao waliotajwa hapo chini.. Nachojua Boy Friend hajafikia hata level ya kuitwa Mchumba maana yake hata hajatambulishwa Nyumbani kwa Mwanamke kwa lengo la kumvisha Pete sasa hapa tunatoa ushauri wa Watoto wa Umri Gani ambao hata hawatambui wako level gani ya hayo Mahusiano ya uzinzi?
 
Ukishagegedwa tayari umefanya tendo la ndoa, hakuna tendo la uchumba, nenda kaishi naye. Vilevile anataka achunguze urefu wa makucha yako asijejuta baadae. Naona huwa mnasubiri mfunge ndoa halafu mnaleta cheche za moto ndani ya nyumba.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom