Fundi manyumba 01
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,117
Mkuu mkuu unajua kuna watu wanatuonea sana mafundi...Fundi manyumba
udambuudambu
Ni mke wa mjeda mkuuHuyo mwenye genye namuomba nimtoe shida yake,akili yake ikawa vizuri na aweze kulipa LUKU kwa wakati.
Naomba namba zake please.
Weka na kapicha mkuu...YESU KRISTO NI MWEMA SANA OMBA AKUPE JIRANI WA KUENDANA NAE
Mkuu kuna watu wanafanya maisha yawe magumu sana ujueInasikitisha sana mkuu
Omba LUKU yako TANESCO.Wakuu ni mwezi sasa tangu nijiunge na chama cha wapangaji...
Sasa naona kasheshe ya kukaa nyumba moja na wanafunzi plas mdada ambaye pesa yake kutoa mpaka bwana wake amzingatie..
Watu wanakera sana sana sana.
Ishu imekua changamoto hapa ni umeme yaani umeme unaisha kama kuna mpangaji anakunywa...
Na biashara yangu hapa inategemea umeme hivo kuna mda ukikatika wenyewe wanajikausha kimya wakitegemea mimi lazima nitalipa tu....
Wakuu naombeni ushauri hapa au maoni hiki tatizo naepuka vipi..
Maana mama mwenye nyumba nae ana mambo mengi mno...
Nyumba inakula umeme kama kiwanda cha misumali aiseee.......
Nilijua baada ya kupata biashara hii ya kupata chochote kitu nitakua nishamaliza kumbe kuna huu ujinga ujinga wa wapangaji kuwa na visirani na watu...
Na hiki kisirani ndo kinafanya vijana tuwe tunawaka hawa wadada ambao wameolewa ila wanashindwa kutimiziwa haki ya msingi... Sometimes genye zinaweza kuleta taflani.
Nawasilisha.... Juu hapo nimeomba ushauri kutokana na hii ishu ya umeme watu kushindwa kulipa wanategemea mimi wa biashara nitalipa ... Natatua vipi...?
Daaah ni wazo zuri mkuu lakini kusema nilipe laki tano mbona ni kazi nyingine an ubaya ubaya tuu hakuna njia nyinginr naweza kutekenya kwao ili umeme uzingue tuu alafu waingie gharama kwa fundi hukoooNenda Tanesko,wakatie mpunga wakufungie mita ya peke yako.
Gharama zake haizidi laki 5
Shangazi gharama zake nimeona sio poa aisee.Omba LUKU yako TANESCO.
Hama.Shangazi gharama zake nimeona sio poa aisee.
Au hakuna wazo lengine hapo
Wewe bibi kama sio mchawi sijuiHama.
koma. Mimi siyo shangazi yako.
Wakuu ni mwezi sasa tangu nijiunge na chama cha wapangaji...