Kuirestart cmu tecno w2

Kuirestart cmu tecno w2

Unataka kui wipe au kuirestart funguka usaidiwe
 
Kama ni ku wipe all data
1)izime
2)bonyeza batan ya kuwasha na ya kupunguzia sauti kwa pamoja
3)zitakuja option nyingi kwa rangi ya kjani,nyekundu au blue
4)tumia batan ya kupunguzia sauti kuflikia option ya wipe all data
5)bonyeza batan ya kuzimia
6)unitumie ata 5000 mpesa

My advice ungetangaza kwanza simu ujue ni ya nani,

Kwa maelezo zaidi ni PM
 
Nimejarbu kwa njia hyo lkn inascreen shoot tu
 
Back
Top Bottom