Kwanza unatakiwa ujaribu version karbia zote za odin,umefanya hivyo?Natumia galaxy note 3 ambayo inarun custom ROM android 5.0, kuna muda haikuwa stable hvyo nilihtaji kuidowngrade to kitkat au kubadili ROM either custom au nirudi stock..nilidown load firmware nyingine ya SM-9005, odin pamoja na drivers zote husika ili niflash ROM iliyo kuwepo.
Bahati mbaya katika process hyo simu ilifail na baada ya hapo ikawa inaleta ujumbe huu nikiiwasha 'could not do normal boot odin mode'
nimedownload firmware nyingine stock nimeiconnect tena kwa pc via odin lakini kila inapoanza process inafail na kuwaka haiwez tena.View attachment 418730
View attachment 418731
naombeni msaada niweze kuinstall ROM upya
Kwanza unatakiwa ujaribu version karbia zote za odin,umefanya hivyo?
Pili baada ya kujarbu odin version zote especially zile latest ,kama bado inagoma kuflash,itabid utumie samsung keys hii na itaflash bila tatizo.
Ukikwama unaeza nichek pm ntakusaidia kwa team viwer
Sio kesi...click okey, endelea na step ikikubali kudownload firmware basi itaflashOdin latest version still inafail...kies pia haisupport kwa model yangu View attachment 418955
Nipmimegoma kudownload..inaonyesha version ya current firmware, no more option
inawezekana aisee...firmware nilizodownload zilikuwa za SM-N9005 kama model ya simu inavyoonyesha lakini TCRA inaonyesha ni SM-N900SHakikisha hyo firmware uliyo-download ndo yenyewe
Nilkuwa na Galaxy s5 ukiangalia model ni g900F wakati TCRA ukihakiki inasema g900T
Nili-download firmware ya g900F kila niki-flash ina-fail
But nilipo-download ile TCRA walkuwa wanatuletea ikakubali, jaribu kuangalia vizuri kuna matoloe mbalimbali ya hizi simu based na network carrier za USA
Kama TCRA bado wanakubali kuhakiki wacheki model watakayokupa ndo real
hii kitu imekaaje sasa simu kudisplay taarifa nyinginezo tofauti na uhalisia wake?Hakikisha hyo firmware uliyo-download ndo yenyewe
Nilkuwa na Galaxy s5 ukiangalia model ni g900F wakati TCRA ukihakiki inasema g900T
Nili-download firmware ya g900F kila niki-flash ina-fail
But nilipo-download ile TCRA walkuwa wanatuletea ikakubali, jaribu kuangalia vizuri kuna matoloe mbalimbali ya hizi simu based na network carrier za USA
Kama TCRA bado wanakubali kuhakiki wacheki model watakayokupa ndo real
hiyo ni firmware ambayo unaistall kweny simu mkuuRom ni nini wakuu?