i am..... Iron manDownload program unayoitaka alafu install
Au nimeelewa vibaya.
Ndio unaweza sema itategemea na hio installer, Kuna online na offline installer. Offline installer utainstall program Bila kutumia internet, na online installer utahitaji internet kuinstall.Kwa mfano naweza kudownload antivirus mfano avast ;kwenye simu,nikaitransfer kwa USB kisha nikainstall kwenye pC?
Ndio unaweza sema itategemea na hio installer, Kuna online na offline installer. Offline installer utainstall program Bila kutumia internet, na online installer utahitaji internet kuinstall.
Pia kwa ant virus Kama huna Hela ya kununua vyema baki na windows defender aka microsoft security essential.
Nimeona baadhi ya watu wanasema window defender sio bora kompared na hizi kama avast,AVG n.k kwa uzoefu ndugu yangu je,avast kuiinstall itahitahi internet au haiitaji?
Za kulipia lakini,Nimeona baadhi ya watu wanasema window defender sio bora kompared na hizi kama avast,AVG n.k kwa uzoefu ndugu yangu je,avast kuiinstall itahitahi internet au haiitaji?
Ahaaa.kumbe.basi ngoja nichimbue zaidi ndani ya pc.na unajuaje kama window ni latest.maana mi najua tu kuna window 10 na kuiupdate ni mpaka ilete ujumbe,je,unaweza kuwekewa window 10 na isiwe latest,na hivyo kukosa baadhi ya feature?Za kulipia lakini,
Ila za bure nyingi Ni sawa.
Na Kama una windows latest yenye updates zote huna haja ya kuhofia virusi.
Ndio, kikawaida ukiweka windows 10 haiwi up to date.Ahaaa.kumbe.basi ngoja nichimbue zaidi ndani ya pc.na unajuaje kama window ni latest.maana mi najua tu kuna window 10 na kuiupdate ni mpaka ilete ujumbe,je,unaweza kuwekewa window 10 na isiwe latest,na hivyo kukosa baadhi ya feature?
katika Tanzania hii ambayo vyuma vimekaza.Sisi tusio na uzoefu sana na computer tunaomba uzoefu/njia na maujanja namna ya kuinstall program mbalimbali kwenye compyuta iwe ni laptop au desktop.
Hii ni kwa sababu ukienda kwa mafundi wanakupiga hela ku-update tu anti -virus.lakin kumbe tungepeana maujuzi humu tukasaidia namna ya kuintall progam mbalimbali.
NB:kama kuna uzi wa namna ya kuintall madude kwenye pc/dtop basi wadau mtupe link iwe rahisi zaidi.
We are family!JF my family love you always.Thanks.
Una update tu Kama una windows 10, ikitoka version mpya watakutaarifu.Ahaaa.kumbe.basi ngoja nichimbue zaidi ndani ya pc.na unajuaje kama window ni latest.maana mi najua tu kuna window 10 na kuiupdate ni mpaka ilete ujumbe,je,unaweza kuwekewa window 10 na isiwe latest,na hivyo kukosa baadhi ya feature?
Ndio, kikawaida ukiweka windows 10 haiwi up to date.
Uki-install windows 10, baada ya hapo ni lazima ui-update. Tena sasa hivi uhakikishe ver 1903 ya windows 10 a features zake zote umeweka. Hapo unakuwa fresh. Ila ili uwe up to date, kama unajiweza kila siku check for new updatea au angalau kila wiki ingia online ucheki updatea na kuziweka. Mashine yako inakuwa fresh na fast..
Windows Defender inaweza kuzuia virus 'swiswin'?Za kulipia lakini,
Ila za bure nyingi Ni sawa.
Na Kama una windows latest yenye updates zote huna haja ya kuhofia virusi.
Unamaanisha kati ya modem na wifi??Je ipi ni njema kati ya kuconnect bando toka kwenye sim kwa kutumia hotspot au wifi?
Ndio yupi Huyu? SimfahamuWindows Defender inaweza kuzuia virus 'swiswin'?