Kuingiziwa vidole ukeni.

Kilichotokea hapa ni kwamba mtoa mada hakufurahishwa na private part zake kuingizwa vidole. amechukulia kama kitendo cha kudhalilishwa kitu ambacho sicho. Daktari pale alikuwa kazini. Daktari inawezekana kabisa hakuwa na nia mbaya kumchezea dada sehemu zake za siri....kutokana na maelezo ya mgonjwa daktari aliwaza huenda kuna uchafu ulibaki ndani na kutokana na uzoefu wake ni rahisi kugundua hata kwa kuingiza vidole. tunapokwenda kuwaona madaktari vipi kama hivyo havikwepeki na ni rahisi kugundua yupi mhuni yupo yuko kikazi zaidi kwa namna atakavyokuwa anakufanyia uchunguzi. nadhani kwa madaktari wanawake ni wazi wameshaona nyingi.
 

hi dk ! Na wewe upokwenye mugomo !masisiter do watakumiss sana eh!
 
pole sana kwa hayo yaliyokukuta,nachujua mimi alitakiwa atumie kifaa maalumu cha kupanua uke kisha aangalie kwa macho na si hivyo alivyofanya,madaktari wengine wahuni pengine alitaka kukujua uke wako ukoje au la alikuwa na tamaa zake za mwili.
 
usikasirike dada ! hicho alichokufanyia daktari ni kitu cha kawaida katika kutafuta chanzo cha maumivu. kitaalamu ulipaswa kuvua chupi na sketi au suruali kama ulikuwa umevaa. Yamkini ulikuwa umevaa baibui ndiyo maana akakwambia uvue nguo. Lengo la kuingiza vidole ukeni ni kudadisi kama kuna uvimbe wowote, kudadisi kama kuna uchafu wowote wa damu au wenye rangi nyingine ya tofauti na ule wa kawaida pamoja na harufu mbaya,kuchunguza kama kuna athari zozote kwenye mlango wa uzazi. Hatahivyo dakitari alipaswa kukwambia haya yote kabla ya kukufanyia kipimo.
 
hii tabia mbaya sana na inakera sana haswa ugunduapo kuwa hakukuwa na ulazima wowote wa kufanyiwa hivyo washnz.....................
sana watumiao taaluma zao kufanya mambo mabaya na ya kishenzi

Iron lady sio washenzi kama ulivyosema hapo baliwewe ndio mshenzi na mjinga yule alikuwa na tatizo lake la UTI kwahiyo ile ni hatua muhimu kwa daktari kuweza kutambua matatizo ya huyo binti na wewe kama ulikuwa hutaki kuchokonolewa si ungekataa unajifanya mstaarabu wakati una UTI
 
Tusimlaumu mojakwamoja huyu daktari, labda alihisi kuna tatizo la vijiwe katika kibofu (calculi) ambayo kwa kufanya hivyo angeweza kuvigusa....siku nyingine muone daktari unayemwamini na usimtilie shaka katika diagnosis; akikuhitaji mbona atakutongoza siyo lazima akushike kwa kisingizio.
 
Even when performed by a male Gynecologist the presence of a female professional (Med Doctor au hata Nurse) is required.
Furthermore walitakiwa kumwambia about all other alternatives that exist to that examination method...

Roullete,

MI ninavyofahamu nihivyo kwamba lazima nesi wa kike awepo hapo wakati hiyo kitu inafanyika.

Sasa tatizo hawa madokta wetu ni mabazazi, mtu anaweza kuwa anaumwa kichwa akamwambia apande kitandani avue chupi.
 
Roullete,
MI ninavyofahamu nihivyo kwamba lazima nesi wa kike awepo hapo wakati hiyo kitu inafanyika.
Sasa tatizo hawa madokta wetu ni mabazazi, mtu anaweza kuwa anaumwa kichwa akamwambia apande kitandani avue chupi.
Ukisoma kuna member mmoja (he claims to be a doctor) alisema kama dada anajifanya kuringa sana, lazima 'apigwe finger'.
Really???
 
Kuumwa chini ya kitovu yanaweza kutokea kwenye kibofu au tumbo la uzazi, kwa maelezo peke yake huwezi kujua tatizo liko wapi kati ya sehemu hizo kuu mbili japo zipo zingine zinazoweza kuwa chanzo cha maumivu. Alichofanya daktari alikuwa sahihi sana na ni kitu ambacho baadhi hawafanyi ili kupata uhakika wa tatizo lilipo, kuumia kwako kunaweza kuwa dalili kuwa tatizo liko kwenye tumbo la uzazi iwapo altumia technique sahihi hasa kuwa gentle, kutumia water based lubricant kabla ya kuingiza vidole. Magonjwa yasababishwayo na ngono isiyo salama, na yale yanayoathiri via vya uzazi (STIs/RTIs) moja ya dalili zake ni kuumwa chini ya kitovu na kuingiza vidole ukeni au kifaa kinachoitwa speculum ili kuchungulia kilichomo. Watu wengi wenye dalili kama zako huenda mahospitalini na kupimwa mkojo kisha huambiwa wana UTI, inaweza kuwa sahihi au kuna kitu kimerukwa kwa kutomwangalia vyema mgonjwa hasa akina mama, matokeo yake ugonjwa utaendelea kimya kimya. Madhara ya kutotibu ipasavyo ni kutopata watoto, mimba kutunga nje ya kizazi, mimba kutoka, kuzaa njiti n.k. Mpe hongera daktari wako. Maelezo zaidi na picha zihusuzo magonjwa ya ngono na via vya uzazi omba kupitia e mail yangu: fordchisso@yahoo.com.
Ford
 
Ukisoma kuna member mmoja (he claims to be a doctor) alisema kama dada anajifanya kuringa sana, lazima 'apigwe finger'.
Really???

Huyo ni bazazi tu!

NIna washikaji kibao nilisoma nao sasa hivi madaktari lakini sipo comfortable kabisa kwuapelekea mke wangu labda kuwe hamna jinsi maana mi nawajua watu wenyewe.
 

Itabidi tufanye ka "sting operation" tunatafuta mdada tunamvalisha vizuri anaingia ndani akipandishwa kitandani bila sababu za msingi tunakamata!
 
Itabidi tufanye ka "sting operation" tunatafuta mdada tunamvalisha vizuri anaingia ndani akipandishwa kitandani bila sababu za msingi tunakamata!

Case za hivi zinavuta hisia za watu wengi... Hivi haiwezekani dr aingie na nurse(ke) kuondoa utata?...pia nasikiaga madr wanafunzi(mazoezi!!) hasa hapo m'mbili huwacheck wajawazito njia..aisee madr 10 mtu mmoja.. yaani mikono 10?... Sitaki kuamini haya masikio yangu..hebu drs tutoeni mashaka ktk hili..
 
Huyo ni bazazi tu!

NIna washikaji kibao nilisoma nao sasa hivi madaktari lakini sipo comfortable kabisa kwuapelekea mke wangu labda kuwe hamna jinsi maana mi nawajua watu wenyewe.

Ndugu yangu una wivu gunia 10...sasa utampeleka wapi?
 
Tatizo langu ni hiyo kutakiwa KUVUA NGUO ZOTE........ that Doc is a Rapist. I know one who wants any woman coming in for a medical treatment with him to be examned Naked..... This isnt acceptable and it s time they stop.
 
Mmeacha mfumo wa sheria mkafuata mifumo mengine ya kijahili, lazima yawakute makubwa zaidi ya hayo.
suluhisho ni wanawake kutibiwa na wanawake wenzao na wanaume kwa wanaume wenzao full stop.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…