Kuingia period mara mbili.

Too face

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
223
199
Je, inawezekana mwanamke kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja?

Mfano tarehe 1 May na 26 May, je hali hii ni kawaida au ni tatizo?na kama ni kawaida kisayansi ipoje?

Na vipi kuhusu siku za kushika mimba kwa mzunguko kama huu?
Msaada kwa wataalam..
 
Wapo wenye matatizo hadi mara tatu. Kina dada mpunguze uzungu. Hapa ni kuanzia mavipodozi mnayopaka hadi mayai ya kuku wa maabara mnayobugia kama kenge vile.
 
Au na wewe ulikuaga binti wa chuo kikuu hapo zamani kidogo?
Maana mabinti wa chuo wanazichomoa mpaka mfumo unaharibika.
 
Kwa mfano uliotoa.. its very much possible kuingia mara mbili kwenye mwezi mmoja.. assuming mzunguko wako ni wa 26 days au hata normal 28days.. ukiingia tarehe 1 after 28 days you should be expecting your next period.. nafikiri ni tatizo pale ambapo umeingia twice within a very short range of time.. say few days or a week. (Speaking from experience, im not an expert or anything)
 
Ok, kuvurugika kwa hedhi kunaweza kusababishwa na homoni kutokuwa sawa au msongo wa mawazo au ulikuwa ukijichua, mambo ni yaleyale kama yanayowatokea wanaume wanaposhindwa kusimamisha, siwezi kukupa jibu la moja kwa moja nenda kwanza hosp. kapime homoni kama zipo sawa, ni tatizo la kawaida na linatibika wala usiogope
 
Good advice dada Too face .kacheck balance ya hormone hospitali ili upate na ushahuri wa kitaalamu zaidi.

Good luck
 
Back
Top Bottom