Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,707
Mkuu nakuona uko na mwenzako mnajiandaa kutokaAmeeen
Muda umefika mkuu,tuwachukuwe wapenzi wetu wakapate upepo wa njeLike kama zote mkuu
ha ha ha ha mchukue mwenzako mpeleke akapate angalau nusu kukuleo umenena kitu cha maana
[emoji23][emoji23][emoji23]marafiki wanafiki ndo wanaongoza kula pesa zetu kuliko hata michepuko yetuha ha ha ha watu hawapendi garama
Itapendeza sanaHapa ngoja nipitie hata ka wine kabei rahisi tukakae kibarazani maana kutoka muda huu naona nimechelewa
ha ha ha ha ninazo mbili tu mkuu kwenye ndevu,mchukue bi mkubwa naye ajione ni wakipekee katika hii duniaMzee Baba inaonekana mvi zimeanza kupiga hodi.
[emoji23][emoji23][emoji23]wengine wanastory nzuri ko unaona tujumuike pamoja yeye atachangia storyha ha ha ha ni kweli mkuu,kama rafiki hana faida piga chini
ha ha ha ndio hivyo mkuu kila mmoja ana faida na hasara zake[emoji23][emoji23][emoji23]wengine wanastory nzuri ko unaona tujumuike pamoja yeye atachangia story
ha ha ha ha wengine walitafutiwa wachumba na wajombaWote wangekuelewa hivi nyumba zao zingeshamiri upendo na amani
ha ha ha ha wengine walitafutiwa wachumba na wajomba