umeua duh!!!mshahara wa mwezi wa sita nilipokea kitita cha haja,, nikawa nijipanga mipango kibao kwa kujua mpaka december na kwa trend ilivyokua mambo yangekua bien... nimesikia imeimarika nimeishiwa nguvu. kweli si kila msiba unaathir wote kuna wengine wanafaidika... all in all hongera serekari yetu kwa kuimarisha shillingi yetu,, ni aibu kushidwa na hata DRC hapa Franc ni 900 kwa dollar 1 na wako vitani
1927 mkuu!!!
mshahara wa mwezi wa sita nilipokea kitita cha haja,, nikawa nijipanga mipango kibao kwa kujua mpaka december na kwa trend ilivyokua mambo yangekua bien... nimesikia imeimarika nimeishiwa nguvu. kweli si kila msiba unaathir wote kuna wengine wanafaidika... all in all hongera serekari yetu kwa kuimarisha shillingi yetu,, ni aibu kushidwa na hata DRC hapa Franc ni 900 kwa dollar 1 na wako vitani
Pole mhujumu uchumi