Kuimarika kwa CCM ni mwiba kwa Upinzani

Ccm wamewasababishia ujinga watanzania, bahati mbaya kwa watanzania ujinga wao ndio mtaji wa ccm.

Miaka hamsini ya utawala chama kinasema kitaleta matumaini tena.!!!???
 
Mkuu, kitendo cha watu kuondoka wakati mkutano unaendelea ni cha kawaida sana kwani hata kwenye mikutano ya UKAWA hayo yanatokea.

Mbona hayo maswali mengine hujajibu? Ila kweli CCM mnatisha sana mmeumaliza upinzani kabisa. Sasa ni wakati wa kufungua champagne na kusherehekea na kupongezana kwa sababu mwakani kaz ni nyepesi sana. hata mkimsismamisha Lusine mtashinda tu. HOngereni kwa kuumaliza upinzani. Twendeni tusherehkee sasa. CCM tutawala milele!
 
Ccm wamewasababishia ujinga watanzania, bahati mbaya kwa watanzania ujinga wao ndio mtaji wa ccm.

Miaka hamsini ya utawala chama kinasema kitaleta matumaini tena.!!!???
Hiyo si kweli mkuu, mbona watanzania wengi tu ambao wameelimika vya kutosha wanaiunga mkono CCM?
 
CCM wamepanda kiwango wanang'ata na kupuliza kama panya utafikili hawajakung'ata wao.
 
Mbona hayo maswali mengine hujajibu? Ila kweli CCM mnatisha sana mmeumaliza upinzani kabisa. Sasa ni wakati wa kufungua champagne na kusherehekea na kupongezana kwa sababu mwakani kaz ni nyepesi sana. hata mkimsismamisha Lusine mtashinda tu. HOngereni kwa kuumaliza upinzani. Twendeni tusherehkee sasa. CCM tutawala milele!
Maswali gani mengine mkuu, au ni haya ya kubeba watu kwenye malori? Huo ni UZUSHI tu kwani CCM haina pesa za kukodia watu malori bali wanachama na wapenzi wa chama hukodi kwa gharama zao kama wataona kuna ulazima wa kufanya hivyo.
 
Kwa muimariko huu kila kukicha naendelea kuthibitisha hisia za watanzania wengi kuwa CCM bado itakuwepo sana.
 
Ukiona mgonjwa aliyeko ICU kapata nguvu ghafla anaomba maji andaa sanduku, mfa maji haachi kutapatapa
 
Kinana ametengeneza CCM ndani ya CCM ndiyo kuimalika huko?Ulishawahi ona wapi chama tawala kinaiponda serekali yake?Hapo hakuna chochote cha maana alichokifanya Kinana.Alichokifanya Kinana ni kuangalia ni kitu gani ambacho kinatumiwa na wapinzani kuwavutia wananchi akagundua kuwa ili uweze kuwapata wananchi ni kuishambulia serekali kwa maovu inayoyafanya wakati maovu hayo ni ya CCM yenyewe na kuendeleza kutoa ahadi nyingi ambazo nyingi zimeshindwa kutekelezwa na hazitekelezeki.Alicho kifanya Kinana ni kufanya yale ambayo wapinzani wanayafanya baada ya kugunduwa kuwa wapinzani wanayatumia hayo kuibomoa CCM.Kwa hiyo Kinana aliona kuwa hakuna jipya ambalo anaweza kulifanya ili wananchi waendelee kuihurumia CCM isipokuwa ni kuunda upinzani ndani ya CCM ili ifanane na wapinzani halisi.
Anachofanya Kinana si kitu kibaya kwani anawakosoa watendaji ambao wanaonekana kulegalega katika safari ndefu ya kuwatumikia wananchi na sio kama unavyodhani wewe kwamba anaanzisha upinzani ndani ya CCM.
 
Hiyo si kweli mkuu, mbona watanzania wengi tu ambao wameelimika vya kutosha wanaiunga mkono CCM?

hivi hizi hoja za maprofesa wa ccm wanazotoa bungeni unaziona zina hadhi ya kutolewa na mtu msomi? Leo hii hapa bongoland huwezi tofautisha hoja ya mtu mwenye phd na yule wa drs la 4! Ama kweli ukiwa ccm sharti uwe na akili ya maiti
 
Unamaanisha hata Phd holders walioko UKAWA kama Mzee Slaa nao ni mburulas tu?
 
mada ya kipuuzi kama hii lumumba wanalipa kiasi gani? Ni ile ile buk 7 au wamepandisha?

Hii si ya kipuuzi, na Lumumba hawalipi chochote eti kwa mimi kupost mada fulani humu mtandaoni. Jifunze ustaarabu mkuu.
 
Ndg mdudu,
Yaonyesha kama we ni mtz wewe huangaliagi sura zako ktk KIOO CHA CCM NA SERIKALI YAKE,sikuombei lakini usije ishi kijijini kwangu hakuna tabu na shida hatuna na tupo inchi hii!
 
Back
Top Bottom