Natoa mafunzo kwa wasiojuaNi wanawake wachache wanaweza hii kitu,Kuna namna flani anabana uke wake na kubana uume wako ,ni wachache Sana hata mke wangu hii kitu hajui
Ewaaaaa hapa ndipo penyeweeeeHaha kwamba hawa ndio magwiji na wataalamu wa kufinyia?😀😀
Ivi nikikuambia nampenda unaelewa huyu ananipelekesha atakavyoShida gani hiyo, pambania kombe asipoeleweka endelea na maisha mengine mwaisa mdogo angu
Pole sana bro, try to it in other ways utajibiwa tu sms mkuu😊Mimi kaka sasaiv ata mueleze nini humu siwaelewi hawa majamaa wameniponza mimi 😭😭 mpaka sijibiw sms tena
Basi sawa ngoja tusubiri michango yao mkuu🙏Ewaaaaa hapa ndipo penyeweeee
Kwan mkuu huku unafanya nn🤣🤣🤣 au ndo robo saa kabla lazma upite pite na huku kwa Bantu Lady ?Iv unafikilia utani huyu dem nimempata kwa shida sana af na mpenda huonu kidum hapa samahani nyingi 😭😭
🤣🤣🤣Huu uzi nautabiria makubwa. Maana unagusa maisha na akili za Watanzania walio wengi.
Unaanza kufeli mkuu unapelekeshwaje? Kumpenda mtu na kukupelekesha ni vitu viwili tofauti. Achana na huyo Ke kama anakupelekesha na hauwezi kubadilika maana utageuzwa toy uwe lizobaIvi nikikuambia nampenda unaelewa huyu ananipelekesha atakavyo
Sioni dalili hata maana kapanic sanaPole sana bro, try to it in other ways utajibiwa tu sms mkuu😊
Ndio mpaka najuta kwanini huku nilikujaKwan mkuu huku unafanya nn🤣🤣🤣 au ndo robo saa kabla lazma upite pite na huku kwa Bantu Lady ?
Usipobadilika na kuwa bad boy wanawake watakutesa sana. Dont be a nice guy kwa hawa viumbeIvi nikikuambia nampenda unaelewa huyu ananipelekesha atakavyo
😋😋 Kwamba hapo ndipo unapochezaga ee?Natoa mafunzo kwa wasiojua
Mapenzi haya shauriki mkuuUnaanza kufeli mkuu unapelekeshwaje? Kumpenda mtu na kukupelekesha ni vitu viwili tofauti. Achana na huyo Ke kama anakupelekesha na hauwezi kubadilika maana utageuzwa toy uwe lizoba
Tatizo lako unaandika mimeseji mirefu kama goli la rugby ndio maana anakuendesha, utakiwi kujieleza sana.Sioni dalili hata maana kapanic sana
Sasa wewe unge muulizaje? Dah umeniponzaTatizo lako unaandika mimeseji mirefu kama goli la rugby ndio maana anakuendesha, utakiwi kujieleza sana.
Very true bora umwambie na weweUsipobadilika na kuwa bad boy wanawake watakutesa sana. Dont be a nice guy kwa hawa viumbe
Jaribu kumshusha taratibu kwa maneno ya kujenga na si kubomoa atakuelewa tu mkuu.Sioni dalili hata maana kapanic sana
Am good boy ila mm sijuag why kwake nipo hivi najikuta na mpenda sanaUsipobadilika na kuwa bad boy wanawake watakutesa sana. Dont be a nice guy kwa hawa viumbe
Ngoja tumsaidie dogo janja wetuVery true bora umwambie na wewe