Kuibiwa nguvu za kiume

Mleta mada hii sibishi maana nimeshuudia na macho yangu hpa jirani yana boooonge la ugomvi dushe la jamaa home halifanyi kazi ila akitoka mita chache toka nyumbani anakuwa poa.
Yeye hakufanyiziwa vibaya na ke wake so pembeni
 
Kama huna uhakika usibishane na usichokijua! Kuna jamaa yangu namjua alikuwa traffic akamparamia dem wa iringa huko morogoro, kufika home ngoma kwa mkewe haipandi kabisa, mke wake kuona hivyo akamtegea mmewe akiwa kalewa kamwagia mafuta ya taa na kumchoma moto majirani ndo kuamulia ugomvi na mwanaume kusema ukweli zilimtoka hela mpaka kumpata huyo malaya na malaya aliweka mashart magumu ya kipesa baada ya pesa kutolewa jamaa akarudi kama kawa
 
Mmmh!! Hii balaa ikutokea bora usikie ya kuambiwa.
 

hii dawa noma
 
Uncle angu ilimtokea dadex yani ni shiida...alikua na mahusiano na mbint wa tanga ile kwenda kumtambulisha hom wakampiga stop..Ile kuachana nae kila akitongoza dushe aisimami katongoza kama ke zaid ya 10...ndo akaanza kumtafuta bint wa kitanga na hatimae wakaoana ila kuhusu kuchepuka hajui maana dushe nje haisimami ila kwa mtanga inasimama...huwa namuonea huruma sana maskinii
 

Kwa nini unamuonea huruma wakati kwa mke wake mambo safi?!
 

ngoja waje watakujibu
 

Hahahaa! Unamuonea huruma kisa hawezi kuchepuka au?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Hii imemtokea mdogo wangu lakini baada ya kuokoka na kuombewa akapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…