naona .. Bateregeza huyooooo anataka tupa vituz
Umezisikia kutoka wapi?
Hahahahha iyo mambo nasikiaga ipo,ila kuna nyingine huwa wanaume wanafany kwa wake zao kuna kabila moja ivi wao wanatumia kisu, mwanaume anaweza kukuambia na safiri then anakua anakisu ile amekuaga kua anasafiri ametoka nje anajifanya kasahau kaondoka na kisu anamwita mke wake mama flani njoo niwekee hichi kisu changu ndani sehemu flani hahahahah mwanamke ukikishika tu umeharibu kile kisu kinakua dawa mwanamke akichepuka tu anagandiana mpaka mume arudi hahahahahaha
Umezisikia kutoka wapi?
Hahahahahah mkuu u made my day aseee, itakuwaje ikija DSM n shidaaaaaaaa!!!
Wanawake wengine huwa wanafanya dawa kiasi kwamba mwanaume ukijaribu kuchepuka tu, mashine na korodani vyote vinapotea na hapo mabahli panakuwa flatiiiii....
Wanawake wengine huwa wanafanya dawa kiasi kwamba mwanaume ukijaribu kuchepuka tu, mashine na korodani vyote vinapotea na hapo mabahli panakuwa flatiiiii....