Kuhusu x boyfriend

thamani ya mtu huonekana pale ambapo uwepo wake haupo
 
ukianza kupendeza kunawili hips zinarudi sexy body toto toto gumzo mtaani kwanini nisirudi kuomba msamaa miye mtoto wa mwanamke mwenzio
 
Hivi kwanini x boyfriend mnapoachana lazma baadae akufate with many sorries, huwa sijuagi kwanini huwa hivyo

siyo wote, na kama ex-boyfriends wako huwa wanarudi kwako with sorries haimaanishi na girls wengine wana-experience hilo.. maybe there is something he didnt get from you when the two of you were lovers, so he came back for it, watch out
 
Maranyingi huwa wanakutaka wakiwa tungi na baada ya kuangalia kulia na kushoto na kuona hakuna sehemu nyingine ya kushushia haja
 
The opposite of love is not hatred; wanataka tu kurudisha urafiki na kuondoa chuki ila kila mmoja awe na amani kama muliachana kwa ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…