iryn alphonce
Member
- May 15, 2014
- 49
- 8
Hivi kwanini x boyfriend mnapoachana lazma baadae akufate with many sorries, huwa sijuagi kwanini huwa hivyo
unao xboylovers wangapi? Je x manlovers hawakufuati?
duh itakuwa umemegwa na wengi
Hua akufuati wewe kama wewe! Ila huwa anafata papuchi si unajua mavi ya kale hayanukii
Hivi kwanini x boyfriend mnapoachana lazma baadae akufate with many sorries, huwa sijuagi kwanini huwa hivyo
'u only know you love her when u let her go' ndo inaapply,..hata akienda we tulia atarudi tu mwenyewe esp ukiwa kimyaa
Hua akufuati wewe kama wewe! Ila huwa anafata papuchi si unajua mavi ya kale hayanukii
Hivi kwanini x boyfriend mnapoachana lazma baadae akufate with many sorries, huwa sijuagi kwanini huwa hivyo
Wengine kumpima alivo mbulula ili atendwe tena kama hakuridhika na maumivu ya mwanzo