MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,361
Bunge na wabunge wa Tanzania ni maajabu makubwa ktk baadhi ya mambo.
Mambo muhimu na ya kitaifa kama huu wizi na udanganyifu kuhusu usafirishaji wa mchanga baada ya Time ya Prof Mruma kuiwakilisha kwa Rais Magufuli Bunge liko kimya kabisa utafikiri hakuna kilichotokea.
Lakini Paul Makonda alipotoa majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya Bunge lilipiga kelele kwasababu Kuna wabunge ambayo ni wauzaji wa madawa ya kulevya!!
Bunge na wabunge wetu bado hawajitambui na kujua makujumu yao pale Bungeni??
Kwanini mambo ambayo hayawagusi moja kwa moja hawanaga mpango nayo Hata kama ni kwa Maslahi ya Taifa??