mara nyingi nimekuwa nikiona au kusikia watu wanasoma nje ya nchi katika fani mbalimbali mfano udaktari, uhandisi, sheria nk. Swali langu ni kwa hawa wanaosomea sheria huwa wanasoma sheria za nchi gani mf. mtu anayesona ujerumani alaf baadae anarudi nyumbani kufanya kazi au huwa wanafanyaje sababu ktk vyuo huwa kuna watu kutoka sehemu tofauti.