kuhusu walioitwa kazini WEO III

kuhusu walioitwa kazini WEO III

gkipps

Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
31
Reaction score
3
Wanajamii,kwa wale walioitwa kazini kwa nafasi tajwa hapo juu..je wenzangu barua zenu mmezipata kwenye box zenu za posta?maana mimi hadi leo sijapata.tusaidiane kwa hilo
 
Aisee hata mi nimejiongeza na nilikuwa na wazo hilo maana posta siwaamini hata kidogo!ngoja j3 niamkie huko!thanks buddy kwa ushauri wako
 
Aisee hata mi nimejiongeza na nilikuwa na wazo hilo maana posta siwaamini hata kidogo!ngoja j3 niamkie huko!thanks buddy kwa ushauri wako

hata utumishi pia ulikua huwaamini hvyo hvyo mpaka leo umekua WEO....taratibu utarud tu kwenye line...
 
Mbona hujaeleweka?ulijipanga kweli kabla hujaandika hiki ulichoandika?
 
Back
Top Bottom